Nini kinaweza fanyika...???

swali lingekuwa, nini namna ya kuzuia tumbo/kitambi baada ya kuzaaa....hili nalo vipi, manake wanaume wengi wanawachoka wake zao baada ya kuona kitumbo kimeongezeka baada ya kujifungua...utazuiaje tumbo lisiwe kubwa, utafanya nini ili lirudi kama kawaida yake
 

hili linawezekana, mie nilifunga tumbo mpaka natoka ndani, kupunguza vyakula vya mafuta kwa wingi, kuna wegine hawataweza hii coz unakuta walijifungua kwa operesheni.
 
Luv huamini au?


cjakuamni luv coz wakati mwingine na wewe ni mzee wa fix, mfanyie bac maarifa kama yupo hapo dar atibiwe hapo hapo, au dar hakuna hao wagogo au ni wale wa kienyeji?
 
Kaizer nanyie wanaume mnachangia kufanya wanawake wasijiamini....nyie ndio mnataka au ndio hivyo tunavyosikia sie kama mnapenda boobs that stands at attention....u know its very depressing to be a woman u should understand our pressure lollllll

but a boob job is out of question...I can't stand the thought of someone cutting off my nipples and reattaching them... :yuck:


Fab may be dont bring sooo many kids... I think this is what I will do... I will just have one kid...
 
Asanteni kwa mchango wenu...

Ingawa mmeniogopesha hamna solution zaidi ya boob job,mie kisu nakiogopa mweee...

may be few exceptional cases,ila wengi baada ya kunyonyesha nimeona maziwa yakianguka....

Hii ina athari ya moja kwa moja kny tendo la ndoa,utawasikia wababa wakilalamika baada ya watoto wa wawili...tendo la ndoa...kwishney...utafanyaje kama you dont feel atractive anymore jamani...???

na wengine utawasikia wakilalamika tangia azae mwanamke flani hajitunzi anymore,yeye kazi yake ni kuvaa vitenge tuuu...jamani hili suala ni vyema kama tutalitafutia ufumbuzi kwa sababu linatuathiri kisaikolojia,,,,mtu kama you dont feel good/atractive inside...it will show outside...mtu anaishia kuwa rafu sababu she feels the same way inside.....

and i dont know why do people associate breastfeeding and love for your child...ina maana wale waliochoose not to breast feed ni half mothers???are they not proud mothers...

fidel kama unayajua mambo mwaga hadharani utakuwa umesaidia wengi.....!
 
Forever young..............I wanna be!!!

ninyonyeshe nisinyonyeshe I will keep myself very well and up to the standards!!!

najivunia uanamke wangu mie aah!!! hata ninyonyeshe watano........

ni mawazo ya kipuuzi ya mtu binafsi kuwa sasa nimezaa basi nimejiwia mzee!!!
 

LOL...Noname...umeamkia wapi leo?

Ni wanaume wa namna gani hao ambao hadi sasa wanakufanya mwanamke kama wewe usijiamini jamani? kama una mwanaume wa hivyo, anayetaka boobs ziwe attention, kesho:
-Atataka uwe na mahips makubwa
-Atataka uwe na bambataaa kuubwa
-Atataka uwe na tumbo flat sijui
-atataka uwe na miguu ya bia

na vyote ivo, vinawezekana thanks to mchina (thanks carmel for ur insights on this)

sasa wanaume tunaeleweka kuwa leo tupo hivi kesho vile....so atatake pia uwe na boobs ndogo, usiwe na hips kubwa wama bambataa kubwa, etc. so taanz akufanya diet au kujislim, mwisho wa siku unakuwa huelewini na hapo mwanaume anasepa, anatafuta orijino.....unaachwa!

kwa hiyo msisingizie wanaume....jamani kikubwa ni KUJIAMINI ulivyoumbwa basi....haya mambo ya kujifanyia maoperation sijui nini, hayana tija

ninaelewwa na ninakubaliana na traditional methods za kurudisha umbo lako la awali, kama
-kufunga tumbo baada ya kujifungua
-kunyonyesha inavotakiwa kama walivosema wengine hapa (sikubaliani na wanaosema eti msinyonyeshe-huko ni kumkosea mtoto HAKI yake ya msingi)
-kuangalia vyakula unavyokula, nk
 

unaweza ukawa nae 1 na bado likaanguka kuliko la mwenye wa 2-3...inategemea na umbile la mtu..kama mwanaume alikuta chuchu saa 6 abaada ya uzazi zikabadilika bac anatakiwa na yeye ayakubali hayo mabadiliko mana umemletea kiumbe duniani na mabadiliko ya hapa na pale ni muhimu, yaani ni ishu ya mwanaume kulitambua/kulielewa hilo kabisaa....
 
 

Mrs leo unamwaga point au kwa vile asubuhi tulisalimiana kwanza kabla hatujatoka?:hug:
 
hii mambo ya kujihini na kujisumbua kisa tu mwanume 'labda' atataka niwe hivi......stiaki!!! nimesema labda maana huji leo atakutak auweje na kesho uwe vipi!!!!

hebu tujiamini tu vile tulivyo jamani, in this case pia tujue hatuwezi kushindana na asili!! hivi unatake uwe kama ulivyokuwa 20 yrs back?? there are natural changes in ur body u cant fight against!!! unataka matiti yako yawe as firm as u used to be ulivokuwa kigoli na sasa umeshanyonyesha......nunua bra ya maana tu basi (sio mama nibebe )

Love me as I am!!!
 
Mrs leo unamwaga point au kwa vile asubuhi tulisalimiana kwanza kabla hatujatoka?:hug:

mr wangu...hilo ndio jibu, salamu nayo inafanya ubongo unafanya kazi yake ipasavyo....
 

hapo sasa...aumbe wake wa kumzungusha zungusha leo hivi kesho vile...i luv u soo much ma dearest! napenda mcmamo wako wa maisha.
 
hapo sasa...aumbe wake wa kumzungusha zungusha leo hivi kesho vile...i luv u soo much ma dearest! napenda mcmamo wako wa maisha.

thanks dearest lakini ujue wewe ndo role model wangu etii......

I always look up on you....admiarably!!!!
 

"LOL its weekend over here man... nimeamkia kushoto.... sio kama sijiamini... am pretty over confident... nooo no my guy thinks i have perfect figure...he never complains honestly...lakini mie nilikuwa naongelea in general ... hivyo ndio tunavyosikia kama wanaume wanapenda wanawake wenye big boobs, slim figure etc, so in one way or another it affects women.... thats why u see women goes for boob jobs, crush diets etc.... I think this happens to mentoo...why do they think size does matter? (u know what am talking here)
 


na hao wanawake watakuwa hawajiamini, mana wanaume kila mtu ana choice yake pia, sio wote wanapenda wenye big boobs na sio wote wanapenda slim figure, kama wewe slim figure jiamini kuna anaependa uwe hivyo na hao wengine hivyo hivyo tena....binadamu ucpojiamini mwenyewe ni tatizo kubwa...jiamni/jipende ulivyo...hakuna wa kukubadilisha.
 


naaa...I dont..please elucidate...

got you noname...

But you also know perfectly well that hizo figure za hivo na maboobs ni business driven tu, hakuna la zaidi, wanatusingizia wanaume! the power of media an the like! akili za kupewa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…