CCM wenyewe ndio wanaleta ukuuumanina wengine wanawaona km wapangaji tu wao ndio wenye nyumba hii watakuuliza wewe ushawahi kumuondoa mwenye nyumba kwenye nyumba aliyoijenga?, nakumbuka mwaka 1958 Nyerere alikua kiongozi wa Kambi ya Upinzani bungeniSwali langu ni je
Nini kinawafanya makundi haya yssikae kuleta suluhu kwa mstakabali wa nchi
NIni kimekupata mkuuJinga Moja wewe ,this is beyond vyama.
Hii chuki mlioitengeneza msidhani ni dhidi ya CDM tu nawachuki nyinyi waseng* balaa
Huna adabu
Hebu tulia mdogo wanguMkuu umefikiwa au tusubirie kidogo
Hata kama ndivyo kwani hayazungumzikiHiyo issue usiirahisishe hivyo kama vile ni ugomvi wa CHADEMA na CCM
Hili ni jambo kubwa. Ni watawala na watawaliwa
Wanaotoa idhini ya kutawaliwa wamepokwa mamlaka yao na watawala wameota mapembe
Ni ugomvi kati ya haki na udhalimu
Hili jambo usilidogoshe
Huna adabu
Mzungumze nini, kwani ni mambo ya posa?Hata kama ndivyo kwani hayazungumziki
+ Ukosefu wa Wazee wa Wakali wenye Busara nchini + Taasisi imara na shababi za kidini...wangelazimishwa tu1:Kiburi
2:ujeuri
3:maslahi 4:visasi
5:kukosa ukomavu wa kisiasa 6:Elimu 7:udini 8:kukomoana 9:Uonevu
Tatizo ni uongozi mbovu wa Samia.Assalam alaykum
Kila mtu anafahamu kuwa nchi inapita kwenye mapito magumu mno kutokana na mzozo wa vyama hivi na kutunishiana misuli CCM wanatumia dola huku CHADEMA wakiwekeza katika harakati na madola makubwa ya dunia
Hali hii inatuvuruga sana kiuchumi na kisiasa na kimahusiano ya dunia
Swali langu ni je
Nini kinawafanya makundi haya yssikae kuleta suluhu kwa mstakabali wa nchi