Assalam alaykum
Kila mtu anafahamu kuwa nchi inapita kwenye mapito magumu mno kutokana na mzozo wa vyama hivi na kutunishiana misuli CCM wanatumia dola huku CHADEMA wakiwekeza katika harakati na madola makubwa ya dunia
Hali hii inatuvuruga sana kiuchumi na kisiasa na kimahusiano ya dunia
Swali langu ni je
Nini kinawafanya makundi haya yssikae kuleta suluhu kwa mstakabali wa nchi
CCM haina mgogoro na Chadema. Wanakaa kusuluhisha nini?Assalam alaykum
Kila mtu anafahamu kuwa nchi inapita kwenye mapito magumu mno kutokana na mzozo wa vyama hivi na kutunishiana misuli CCM wanatumia dola huku CHADEMA wakiwekeza katika harakati na madola makubwa ya dunia
Hali hii inatuvuruga sana kiuchumi na kisiasa na kimahusiano ya dunia
Swali langu ni je
Nini kinawafanya makundi haya yssikae kuleta suluhu kwa mstakabali wa nchi
Wewe ni hazina nitakulinda kwa wivu mkubwaKumaliza mzozo uliopo sio CCM kukaa na Chedema ila ni Serikali kusikiliza hoja za wana nchii na malalamiko mbalimbali na kuyatatua
Wewe hujui hata kama Kuna kesi dhidi ya hiyo tume😆😀Bado iko kazini
Hili kweli ni swali unalohitaji msaada kulijibu?Swali langu ni je
Nini kinawafanya makundi haya yssikae kuleta suluhu kwa mstakabali wa nchi
Assalam alaykum
Kila mtu anafahamu kuwa nchi inapita kwenye mapito magumu mno kutokana na mzozo wa vyama hivi na kutunishiana misuli CCM wanatumia dola huku CHADEMA wakiwekeza katika harakati na madola makubwa ya dunia
Hali hii inatuvuruga sana kiuchumi na kisiasa na kimahusiano ya dunia
Swali langu ni je
Nini kinawafanya makundi haya yssikae kuleta suluhu kwa mstakabali wa nchi
CCM walifanya maridhiano karibu mara tatu na upinzani Zanzibar ni kipi walichokiheshimu? Nafikiri kilichobaki vyama vya upinzani ni kupigania uhuru upya kwani CCM ni zaidi ya mkoloniKIBURI cha CCM
Na UJEURI wa CHADEMA
Umejibu vyema sana, lakini tazama huyo huyo aliyeuliza swali alivyoelewa maelezo haya yanayojitosheleza kabisaHiyo issue usiirahisishe hivyo kama vile ni ugomvi wa CHADEMA na CCM
Hili ni jambo kubwa. Ni watawala na watawaliwa
Wanaotoa idhini ya kutawaliwa wamepokwa mamlaka yao na watawala wameota mapembe
Ni ugomvi kati ya haki na udhalimu
Hili jambo usilidogoshe
Unayo matatizo gani ya kuelewa yaliyoandikwa, au ni ulaghai ule ule wa ki-Samia unauweka kazini?Hata kama ndivyo kwani hayazungumziki
Samia anatumia 'script' ile ile iliyozoeleka.CCM walifanya maridhiano karibu mara tatu na upinzani Zanzibar ni kipi walichokiheshimu? Nafikiri kilichobaki vyama vya upinzani ni kupigania uhuru upya kwani CCM ni zaidi ya mkoloni
Mimi sina chamaWewe hujui hata kama Kuna kesi dhidi ya hiyo tume😆😀
CCM huwa mnapoongea vitu mnapozi kama mnatoa mambo yenye uhakika kumbe hamna mlijualo.
Yeah, kweli umeshafikiwaMimi sina chama
Namba 5 ina make sense zaidi 😳 !1:Kiburi
2:ujeuri
3:maslahi 4:visasi
5:kukosa ukomavu wa kisiasa 6:Elimu 7:udini 8:kukomoana 9:Uonevu
Samia anatumia 'script' ile ile iliyozoeleka.
Sina hakika kama atafanikiwa.
Haya yanayomkabili hana uwezo wa kuzima akili za watu.
Nishatulia mkuuHebu tulia mdogo wangu