Nini kinazuia mji wa Moshi kuwa Jiji?

Eti jiji? Jiji la barabara mbili (juu ya stendi na chini ya stendi)? Jiji unaloweza kulizunguka kwa miguu kwa dakika 25? Acheni masikhara tafuteni mambo ya maana ya kufanya.
 
Utaambiwa kwa kuwa mbunge ni wa CDM maendeleo hayawezi kuja! siasa za utopolo kabisa hizi.
 
Kwa sababu wanachagua watu wale
 
Sihasa ndio tatizo
 
Kwa saiv huu mji una wakaz million 1 na zaidi, hivyo kuchanganya na maendeleo yaliyomo kwa miaka ya karibuni ni haki yake kua jiji lakin ndy hivyo kuzubaishwa kwingi
 
Eti jiji? Jiji la barabara mbili (juu ya stendi na chini ya stendi)? Jiji unaloweza kulizunguka kwa miguu kwa dakika 25? Acheni masikhara tafuteni mambo ya maana ya kufanya.
We moshi unaizunguka kwa mguu kwa dk 25?
Huku kutokuelewa kutaathiri maamuzi October 28/020
 
We moshi unaizunguka kwa mguu kwa dk 25?
Huku kutokuelewa kutaathiri maamuzi October 28/020
kwani Moshi ina ukubwa gani? Hata hiyo hadhi ya 'manispaa' imeghushiwa! Vitongoji vya mji wa Moshi havijai mkono mmoja katika kuhesabika: Majengo, Pasua, Soweto, Shanty Town umemaliza!
Hiyo ndiyo unataka iwe jiji?
 
utasikia msiponichagua sileti maendeleo halafu bado kuna watu wanamsapoti,Tanzania ina watu wa ajabu sana.
 
Msingi wa swali lako linatokana na comment yangu uliyoni quotet niliyosema"Chedema jambo dogo wanasusa na kutoka bungeni"inamaana nafatilia bunge.
Ubongo umejaa funza, maana wala hujiuliza kwa nini wanatoka bungeni? Je kwa taratibu za kuendesha bunge ni kosa kutoka bungeni ili kuonyesha hukubaluani na hoja fulani??
 
Itakuwaje jiji na huku viongozi wao wakiwa bungeni mala wasuse bunge mala wazibe midomo ili wasiongee nq hayo ndo matokeo yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…