Zillion
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 1,378
- 1,866
Okay vyema.Ndio walibebwa! Wewe ni mjinga sana
Na uwanja wa ndege chatto upo kwenye ilani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay vyema.Ndio walibebwa! Wewe ni mjinga sana
Vyama vingineMwenyekiti wenu kasema mkichagua vyama vingine, sitoleta maendeleo. Sasa hapo nani anayezuia maendeleo?
Hao akina morogoro walio changua CCM tangu miaka hiyooo wana nn?Waache kuichagua Chadema inachelewesha maendeleo
Sihasa ndio tatizoWakuu Salaam;
Mji wa Moshi ndiyo kitovu cha mkoa wa Kilimanjaro na kwa sasa hivi mji huu umepanuka kimaendeleo kulinganisha na miaka 15 iliyopita.
Sasa mji huu tangu mda tu haupandishwi hadhi ya kua jiji ilihali mchana kweupe tunaona kwingine kunapanda tu. Na sifa za huu mji zinajulikana zinazodhihirisha kua unastahili kua jiji.
Kipindi cha Mh. Amos Makala zilionekana dalili za kua jiji, na wakati JK alipokuja kwenye uzinduzi wa jengo la Uchumi alihaidi kuifanya kua jiji lakini haikufanikiwa. Ikakumbushiwa lakini hakuna.
Wazee wa mji na viongozi husika wameshajaribu vya kutosha lakini imeshindikana.
Miaka na miaka inazidi kwenda tukisubiri na wakati huu wa Jpm ndiyo kabisa hakuna chochote.
Sifa za mji wa Moshi zinajulikana kote na hivyo inastahili kua jiji.
Nini sasa kinazuia mji wa Moshi uliopo mkoani Kilimanjaro kua Jiji?
Kwa saiv huu mji una wakaz million 1 na zaidi, hivyo kuchanganya na maendeleo yaliyomo kwa miaka ya karibuni ni haki yake kua jiji lakin ndy hivyo kuzubaishwa kwingiMpendwa mtoa mada yaweza kuwa uko sahihi.
Ila naomba nikukosoe.
IDADI YA WATU ndiyo hufanya mahali fulani paitwe kijiji ,mji, au jiji.
Kwa sababu watu wakiwa wengi katika eneo fulani wanakuwa wamesukumwa na vitu potential zaidi ni kiuchumi.
ili sehemu iwe jiji nadhani ni lazima iwe na wakazi kuanzia million moja. Yaani hapo moshi mjini pawe na watu million moja.
Kwa mfano dar nzima ina wakazi million 4 jumla. Ila kwa makadirio yangu ni kuwa pale dar penyewe achana na huko Goba yaweza kuwa na watu kama 1.5 M.
So nipe statistics za hapo moshi pana watu wangapi
Maendeleo hayama vyamaKwa sababu wanachagua watu wale
We moshi unaizunguka kwa mguu kwa dk 25?Eti jiji? Jiji la barabara mbili (juu ya stendi na chini ya stendi)? Jiji unaloweza kulizunguka kwa miguu kwa dakika 25? Acheni masikhara tafuteni mambo ya maana ya kufanya.
kwani Moshi ina ukubwa gani? Hata hiyo hadhi ya 'manispaa' imeghushiwa! Vitongoji vya mji wa Moshi havijai mkono mmoja katika kuhesabika: Majengo, Pasua, Soweto, Shanty Town umemaliza!We moshi unaizunguka kwa mguu kwa dk 25?
Huku kutokuelewa kutaathiri maamuzi October 28/020
wajinga ndio mtaji wao ccmMwenyekiti wenu kasema mkichagua vyama vingine, sitoleta maendeleo. Sasa hapo nani anayezuia maendeleo?
Hawafikirii zaidi ya hatua 5 kutoka walipo.wajinga ndio mtaji wao ccm
Ubongo umejaa funza, maana wala hujiuliza kwa nini wanatoka bungeni? Je kwa taratibu za kuendesha bunge ni kosa kutoka bungeni ili kuonyesha hukubaluani na hoja fulani??Msingi wa swali lako linatokana na comment yangu uliyoni quotet niliyosema"Chedema jambo dogo wanasusa na kutoka bungeni"inamaana nafatilia bunge.
Basi angesema na Dar isiwe jiji maana napo lilikuwa mikononi mwa ChademaNimeshajua kinachozuia mji wa Moshi usiwe jiji.
View attachment 1609294
Itakuwaje jiji na huku viongozi wao wakiwa bungeni mala wasuse bunge mala wazibe midomo ili wasiongee nq hayo ndo matokeo yakeWakuu Salaam;