Kwa sababu anatamani wanadamu waamini maisha yanaishia hapa, hakuna mengine baada ya kufa! ili apate wadau wengi wakwenda kumpa company motoni.Kwa nini?
Kuchukia shetani ni jambo la ajabu sanaKwa sababu anatamani wanadamu waamini maisha yanaishia hapa, hakuna mengine baada ya kufa! ili apate wadau wengi wakwenda kumpa company motoni.
Hahahaaa jamaa anazidi kupata wadau wa kutosha!Kuchukia shetani ni jambo la ajabu sana
Sawa mkuuHahahaaa jamaa anazidi kupata wadau wa kutosha!
Nadhani ni either Dunia ingekua sehemu ya hovyo sana kuishi, maana kama ni uwanja wa vita basi ungekua ni uwanja wa vita kweli kweli au kusingekua na mabadiliko yoyote kwa maana hivi ilivyo ingekua ndivyo ilivyo.Mimi naamini tungepambana sana kwa pamoja kuboresha maisha yetu.
Akili za mwanadamu kufikiria kuna maisha mengine baada ya haya hapa duniani kunalemaza kutoshughulika na changamoto na hali halisi ipasavyo na kuishi katika utimilifu wetu wote.
Pia kunatupa matumaini hewa kuhusu hali zetu halisi.
Malezi/mfumo waliojiwekea. Ulaya wamepitia experience mbaya sana huko nyuma mfano vita, uonevu wa kitabaka, n.k. ndiyo maana wanadiscipline sana.Ulaya na China mbona hawauani hivyo pamoja na kuwa na watu wengi wanaoamini hakuna maisha zaidi ya haya ?
Je, ulaya na China wanaishi kwenye utimilifu?Ulaya na China mbona hawauani hivyo pamoja na kuwa na watu wengi wanaoamini hakuna maisha zaidi ya haya ?