Nini kingetokea kama Mwl. Nyerere angestaafu Urais mwaka 1971 na Oscar Kambona kuvaa viatu vyake hadi mwaka 1981?

Ukitoa huyo hawa wengine ni bure kabisa! Angalau mzee wa watu JK tunaweza kumsamehe kwasababu alijitahidi mambo mawili au matatu yahusuyo demokrasia na utawala bora

Hivi siyo nyie mliokuwa mnamtuka mzee wa watu mbele za uso wake. Ona sasa hukumu imewaanzia hapa hapa duniani. Ya huko ahela, Mwenyewe ndiye anayejua.
 

Ili kuwa balanced, tunaomba pia tujue pia uhodari wake. Maana tumesikia upande wa udhaifu wake tu.
 
nikisikia maneno ya waliokuwepo miaka ya 1985 mpaka 1995 wanamsifu sana mwinyi na jinsi hali yao ilivyokua nzuri kulinganisha na Nyerere lakini ukiangalia data za WORLD BANK na IMF zinasema kiuchumi Tanzania under Nyerere ilikua vizuri kuliko under Mwinyi. mpaka Nyerere anaondoka Tanzania ilikua inaongoza kwa Gdp East Africa ila alipoingia Mwinyi ilishuka sana mpaka anaingia Mkapa ndio ikaanza kupanda tena.

unaweza ukanifungua macho kwenye hili. kwanini numbers za World Bank na IMF zinamsaliti Mwinyi dhidi ya Nyerere wakati inaonekana hali ya watu ilikua vizuri wakati wa Mwinyi kuliko Nyerere?
 
Sasa Pohamba ingekuwaje Kama mwinyi angepokea nchi toka kwa Kambona hyo 1981?
 
Weka hapa hizo data nikupe uchambuzi wa kiuchumi kwa kuwa uwanja huo sio mgeni sana pia!

Pia jiulize chanzo cha input ya Taarifa hizo za WB na IMF ni BOT au wana source zingine kujua GDP?

Pamoja na yote nikupe darsa dogo tu

Economic growth na Welfare of society vinashabihiana lakini si lazima viende sambamba

Uki google utakuta nchi yenye uchumi mkubwa zaid Duniani ni tofauti na nchi yenye wananchi wenye welfare kubwa zaid

Mf rahisi usishangae Pohamba anaishi kwa furaha na amani na familia yake kuliko Said Salim Bakhresa japo kipato cha ukoo wangu wote kwa mwaka haifikii 10% ya kipato cha SSB kwa siku!



 
Tungeingia kwny soko huria mapema sana kwa hiyo athari za ujamaa zisingekuwa kwa kiwango ambacho kilifikia

Mf Yule Mkulima wa South Africa asingekamata ndege zetu wala tusingemlipa fidia kwa nyuma ya pazia kwa kuwa yule aliporwa mashamba mwanzoni mwa 1980s
Sasa Pohamba ingekuwaje Kama mwinyi angepokea nchi toka kwa Kambona hyo 1981?
 
japo credibility ya hii source sio ya kuaminika sana lakini kwa kuanzia hapo si vibaya
 

Kungekua na hatari ya ardhi yote kumilikiwa na mizungu michache yatokee kama ya Zimbambwe.
 
Ulichelewa sana kujua, lakini ungeongea na Wakandarasi wawili watatu ungepata jibu mapema kuhusu mpiga dili wa Chato.
 
Huwezi kudhulumu na kunyang'anya raia mali zao halali kwa jina la "utaifishaji na uhujumu" ukatoboa
 
Kambona alishakimbia. How could that be possible?
 
Uhodari (mazuri aliyofanya/aliyosimamia) ndiyo yanapambwa sana. Mapungufu/dhambi zake ndio mwiko kuzungumzwa. Wezi wakubwa walofikisha taifa hili hapa, wote ni ccm, wanajificha kwny kichaka hicho cha kumpamba Nyerere, na ukisema neno baya lolote kumhusu Nyerere watakutoa roho.
 
Weka nyama kidogo hapo kwa kimbia kwa kambona
Hata kama ingekuwa ni miaka 10, Kambona was an outcast. He was never wanted anywhere near the power that might be
 
Miaka 30 ijayo, akitokea mtu akasoma gazeti la Uhuru la mwaka 2020 kuhusu demokrasia na uchumi wa Bongo, unadhani atakuwa na uelewa sawa wa hali halisi unavyoiona wewe kwa sasa? Kadhaalika, msomaji huyo wa Gazeti la Uhuru la 2020 kwa 2050, atasoma pia katika miaka mitano ya JPM zaidi ya viwanda 3000 vimejengwa. Sjui unanielewa?
 
Halafu uone maajabu ya Mungu

Wengi wa walioporwa mali zao walirudi tena kuwa matajiri wao na kizazi chao na wale Waporaji wamekufa masikini na watoto wao wamechoka na kuchakaa kwa dhiki

Baba yake Yusuf Manji Mzee Mahboo Manji aliwahi kusema kwa utani wenye kumaanisha '…Nyerere alikosea kutupora mali zetu na kutuachia akili za kutafuta mali zingine …'
Huwezi kudhulumu na kunyang'anya raia mali zao halali kwa jina la "utaifishaji na uhujumu" ukatoboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…