Nini kipo nyuma ya chips?

Kuna baba lao "Kitumbua" hichi ndio kinanyonya mafuta balaa.

Yani ukichukua vitumbua vitano ukavikamua unapata hata nusu lita ya mafuta.

Afu sasa ndio kuna watu wanapiga vitumbua kumi asubuhi, mchana ana ongeza kitimoto yenye mafuta.

Ila kila siku kuzinanga Chipsi kwamba ndio zina mafuta sana...😄
 
Ndio maana wanawake wengi wanazidi kuwa na vitambi.
 
Kiti moto ni white meat, inajikaanga kwa mafuta yake na hayana cholesterols
 
Ukiyakaanga kwenye mafuta yananyonya sana mafuta tofauti na ukipika kwenye mboga. Kwaio tatizo linaanzia hapo kwenye kuunyonya mafuta mengi,unakula mafuta mengi kupitia viazi ivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…