ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Vp kuhusu ujangili wa Meno ya temboHakuna mafanikio yeyote,madawa bado yanaingizwa kama kawaida na mateja wamejaa mitaani.
Kilichoongezeka ni usiri mkubwa wa kufanya biashara hyo.
Siku rushwa ikikoma na madawa yatapotea Tanzania.
Soko lilikua China,China akazuia kuanzia kwenye soko kwa huo hayana dili tenaVp kuhusu ujangili wa Meno ya tembo
Sikuhizi wanamtandao hawahangaiki na meno tena, wanabeba tembo mzima kwenye ndege!!!Vp kuhusu ujangili wa Meno ya tembo
Hizo deal watu wanapiga kama kawaida,Vp kuhusu ujangili wa Meno ya tembo