Nini kipo nyuma ya ukuaji na ongezeko la watu wasiokuwa na dini?

“Dini ni perfume kupunguza harufu ya maovu, husuda, wivu, tamaa, mauaji na matendo machafu ya binadamu, inakupa sense ufanyacho hata kama ni kibaya eti utasamehewa tu.”
 
Ukingalia kwa umakini utengano na kutokuwepo haki katika taifa na mataifa mengi moja wapo ni hili kukumbatia dini ambazo hazina msaada wakati wa utatuzi na zinaungana na wahusika kuwakandamiza waumini wao.
 
Ni uhelewa to ndo unao7bisha yani tumeanza kujielewa..
 
Inasikitisha sana na fikra zako hizo eti wazungu walileta na wameitupa???!! Tembea uone nchi za kizungu usiongee habari za vijiweni halafu msipende kukremisha ukristo ni uzungu dah??!!! Mbaka leo bado unaakili hizi Mungu akusaidie sana
Unatia huruma.
 
Your observation is right 100%.Sababu sahihi ni hii:Shetani ameongeza kasi ya kupotosha watu kwa kutumia agents wake, ili aende nao jehanamu.Why,kwa kuwa anajua muda uliobaki kabla ya kuanza hukumu ni yake jehanamu ni mchache.Kumbuka kwamba Shetani ameshahukumiwa,he is only waiting for the start of his torment in hell.
 
Shida kubwa inaanzia katika uhuru wa hoja mchanganyiko, kwangu mimi lawama na mzigo wa lawama nawapa Wanasiasa.
 
Ni moja wapo ya dalili za kuja kwake Mwana wa Mungu.
Imeandikwa, Imani za wengi zitapoa"

Kifungu nimesahau- kwenye Biblia.
Hivyo nadhani huo ni utimilifu wa unabii.
Huyo mwana wa Mungu mnayemsema kwa nini aje leo? Si aliwambia wasaidizi wake kuwa kizazi chao hakitapita atarudi? Alisema "kizazi hiki hakitapita". Yaani kizazi (generation) ile isingepita agerudi. Sasa zimeshapita generations ngapi?

Hebu msitufanye wajinga tafwazali, akili tunayo[emoji3]
 
Ahaa! Mkuu Sundoka ni upi ushauri wako kwa ambao bado wametingwa na uongo ambao haustahili kudumu?
Waache kutanguliza IMANI badala ya UKWELI. IMANI hutumika pale mtu anapokosa ukweli wa jambo, ila kamwe usitangulize imani kabla hujatafuta UKWELI na ukakosa. Na kama ukweli utaupata achana na IMANI tembea na UKWELI itakusaidia sana.
 
Acha kutufunga kamba na wewe bwana. Waislam huko china ni chini ya 1% na wakristo ni 2% ya population nzima. Ina mqana ukiwajumlisha wote ni around 3% ya population nzima. Hao 97% hawaabudu hizo dini. Na hata hao 3% wengi ni raia wa nchi nyingine wanaoishi China au wahamiaji.
 
Tatizo kubwa ni kwamba mahubiri yameshindwa kujibu maswali hasa kwa vijana juu ya hatma yao kimaendeleo badala yake ni vitisho .

Ndoto na matamanio ya kijana yyt ni mafanikio, kama kanisa / msikiti umefail kumpa mafundisho mazuri yanayomsaidia kujikwamua katika kupambana na maisha yake badala yake anakamuliwa sadaka na zaka huku akishuhudia viongizi wa dini wakineemeka ni vigumu sana kumshawishi kijana kuhudhuria katika nyumba za ibada maana anaona ni kama anapoteza tu muda wake
 
Roman Catholic wamechangia sana kufanya watu waache kwenda kanisan,maana mapadri wamekuwa wakali kama walimu wanatukana watu na wanapenda hela bila aibu bado wanakula wake zetu na dada zetu mpaka wanawazalisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…