Nini kipo nyuma ya ukuaji na ongezeko la watu wasiokuwa na dini?

Nini kipo nyuma ya ukuaji na ongezeko la watu wasiokuwa na dini?

Sasa ndugu yangu Mimi naumwa badala ya kunishauri niende hospital unaniambie nikanunue maji ya upako nitapona, hv unategemea nini nikija shtukia hiyo dini unaweza kunishawishi tena kirahisi kuhusu dini
Lakini mwenye kutoa maji ya upako akiugua anaenda hospitali.
 
Oh! Kumbe

Dini yangu ni ipi katika jina moja maana naamini katika Mungu lakini sifahamu dini yangu? 🤔
Huwezi kuamini Mungu wakati huna dini. Wewe kama siyo Mwislamu wala Mkristu, basi ni mpagani. Upagani nao ni dini. Utakuwa wewe ni mpagani anayeamini kuwepo kwa Mungu, maana wapo watu mamilioni wanamwamini Mungu na wakati huohuo wana imani za kiasilia. Asikudanganye mtu kuwa hizo imani hazikai pamoja! Zinakaa tu! Anyakuam,bia kuwa hizo imani hazikai pamoja mwambie mbona sayansi na imani kwa Mungu ni marafiki. Mamilioni ya wanyasayansi inayosema if you can't touch it, it does not exist. If you can't prove it, it does not exist. Lakini wakati huo huo you cannot touch God, you cannot prove the existence of God but you say God exist... very unscientific.
 
Dini ni mfumo wa maisha,usipozini,usipoua,usipokula ribs,usipodhilumu,usipoabudu mungu mwingine zaidi ya Allah,ukiamini siku ya malipo,hapo unakua umeishi kiislam
Hayo yooote uliyotaja bila nguzo/msingi wa IMANI hayapo...tuna AMINI Kwanza ndio tunatenda....bila wewe kuamini uwepo wa MUNGU ungejua ya kuwa kuzini ni dhambi???
 
Safi sana mkuu... kuna uwezekano hizi dini zinauhusiano na Mungu (yaani zinajibabatiza kwa) ila Mungu mwenyewe hana uhusiano na hizi dini(kwa maana kwamba hakuamrisha iundwe dini ila watu tu wenyewe waliamua kufanya hivyo).
Kabisaaaa chief.....Una fikara pevu sana na ni watu wachache Sana wenye fikra na upeo huo.
 
Dah!. Binafsi naamini Mungu yupo na ndio aliyenibariki nipo na maisha mazuri kwa Sasa.
Ila sijaenda kanisani miaka na miaka ( Mimi ni RC). Tatizo kwa kweli zile sanamu na mipicha tunayoambiwa ni yesu Kule kanisani zinanikwaza sana. Yaani mtu kachonga mjisanamu wake na mti wa mpingo Leo hii naambiwa kuwa niheshimu kuwa ni mfano wa yesu!!?. Nimeshafafanuliwaga na watu mbali mbali kuhusu hizo sanamu Ila sikuwaelewa hata kidogo.
Nimejaribu kusali makanisa mbali mbali Ila kote kumenishinda.
Ila Kama sio sanamu na mipicha picha kanisani, basi RC is the best.
Sidhani wewe ni kato;iki. Hakuna mahali ambapo wakatoliki wanaambiwa waabudu sanamu. Zile picha siyo Mungu wala Yesu wala Bikira Maria. Ile ni mifrano na mfano ni "representation of reality but not reality itself".
 
Hayo yooote uliyotaja bila nguzo/msingi wa IMANI hayapo...tuna AMINI Kwanza ndio tunatenda....bila wewe kuamini uwepo wa MUNGU ungejua ya kuwa kuzini ni dhambi???
Dhambi ni neno linatumika katika dini zote. Neno hilo ni sawa na neno kosa. Huhitaji dini ya Kiislamu au Kikristu kujuwa kuwa kuzini ni kosa. Wale wote mnaowaita wapagani wanajuwa na kukubali kuwa zile amri kuanzia ya nne hadi ya kumi pia ziko kwenye imani zao. Tofauti yao na ninyi ni nani wa kuabudiwa. Wakati wewe unaenda Msikitini au Kanisani kumuomba Mungu wako wao wanazo sehemu zao za mitambiko. Kusali au Kuswali ni aina fulani ya tambiko. Unaweza kuliita tambiko la Kiklristu au tambiko la Kiislamu...those are just words but acts singify being in the process of doing what you believeagain what you believe is a requirement for being a believer!
 
Dini zote ni upuuzi na utumwa, uongo uliopitiliza umejaa kwenye hivyo vitabu vyao! Mfano eti Mariam alikuwa bikra Hadi hapo alipoingiliwa na "Mungu", wakati by that time alikuwa ameshaolewa na Joseph, and walikuwa wameshadinyana sana tu, na walikuwa na watoto wakubwa before Yesu! Or eti wengine wanasema ukilifia jina la Mungu wao unaenda kupewa mabikra 72 akhera, so wao katika zawadi zootee mabikra 72 ndiyo wakaona zawadi kubwa, then vipi kuhusu wanawake wataolifia jina la huyo Mungu, wanapewa nini? Dini ni uongo ulioletwa kuwapumbaza wajinga ili waendelee kuwa mazoba
Waarabu inaonekana wanasamini Sana mbunye, wakaona ili kuwateka vijana wawawekee hii kitu
 
Miaka iliyopita tulikuwa tunasikia ulaya vijana wengi hawaendi makanisani..saiv naona hiyo Hali imehamia hata nchi za kiafrika, baadhi wanaenda makanisani kwa msukumo wa Jambo fulani lakini sio kumwabudu Mungu. Vijana wengi wako busy na maisha plus starehe na hawaoni umuhimu wa dini maishani mwao.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Baadhi ya dini zinafundisha ukatili, kuchinja watu na kuchoma nyumba za watu, ndio maana watu hawaoni hata huo umuhimu wa dini
Hakuna dini inayofundisha hayo. Hiyo ni dini yako imekuaminisha hayo na sasa unayashikilia kama ukweli kumbe siyo!
 
Nimesoma chuo kinachofundisha uchungaji (Theology).

1. Wachungaji tulikua tunagombania nao mademu wa chuo.
2. Wachungaji wanagonga vitoto vya certificate.
3. Wachungaji wanaomba video za porn
4. Mama wachungaji tunawala vizurii
5. Mashekhe hawaeleweki
6. Padre kafumaniwa na mchumba wa mtu.

Wotee Hawa NDIO UNAENDA WASIMAME MADHABAHUNI KUKUHUBIRIA..!!!???

#YNWA
Hao wanaishi kimwili na siyo kiroho na karibu wote wapo hivyo, Mungu ni roho na tunapaswa kumuabudu katika roho na sisi roho zipo ndani na mwili nje hivyo viumbe waliokufa ndo wapo katika roho wanaweza kuwasiliana na Mungu kuliko sisi, hivyo hao wachungaji ilipaswa tangu utoto wao wawe hawajagusa dhambi na tangu utoto waishi mazingira ya kujitenga na maisha ya mwili wakae huko kanisani tangu watoto Ili dhambi isiwasogelee kiasi cha roho zao kuwasiliana na Mungu ila Sasa ndo hivyo uliona huko chuo.
 
Mimi binafsi huwa naona dini inanichanganya sana kwa CONTRADICTION zake mfano Waislam wanaamini katika kuoa mke zaidi ya mmoja (POLYGAMY ) wakati huo huo wakiwaaminisha waumini kuwa mungu ni mmoja na wa pekee!!
Wakristo nao wanaamini katika kuoa mke mmoja (MONOGAMY) na wakati huo wakiwaminisha waamini wao kuwa MUNGU ni mmoja na wa pekee!
Sasa SWALI je Siku ya hukumu MUNGU huyu ambaye hivi vitabu viwili vinafundisha kuwa ni mmoja atahukumu vipi kwa wale waliooa mke mmoja na wale waliooa wake zaidi ya mmoja? Kwangu Mimi ingawa sijasoma sana mafundisho ya kuoa mke mmoja na mafundisho ya kuoa mke zaidi ya mmoja yanaji Contradict!
Watu wanao reason mambo ! Wanaishia kukimbia imani au kuabudu kinafiki!
There is no contradiction in polygamy and monogamy as these are practiced by different religions. It would be a contradiction, if christioanity practiced both. Also, no where in the bible is forbidden to marry more than one wife. The bible talks about marriage and does not say anything about polygamy or monogamy. Monogamy is a Western practice that is enshrined in their constitution.
 
siku za mwisho....

'Na kutokana na maasi kuongezeka upendo wa wengi utapoa....'
 
Waumini wengi wanawaona Viongozi wao wanatenda maovu mbali mbali, wanakaa kimya huku maovu yakiendelea kushamiri badala ya kuwakemea watenda maovu, wanawakumbatia the so called Viongozi wanaotenda maovu mbali ikiwemo mauaji. Sasa hivi baadhi wameacha kwenda misikitini na makanisani pia kuacha kutoa sadaka.

Habari 👋🏾

Nimefanya tafiti katika vipindi, nyakati na maeneo tofauti na inaonekana wazi ushawishi wa dini unapungua kwa kasi kubwa sana.

Inaonekana wengi kutokuwa na hakika katika dini mbalimbali na wengi wao bado wanajaribu kujionesha katika ngwe hiyo kwa sababu kadhaa ikiwemo kutokataliwa na jamii hizo.

Je, ni ipi sababu ya ukuaji wa kiwango hiki cha watu kutokuwa na dini kama ilivyozoeleka?
 
Waumini wengi wanawaona Viongozi wao wanatenda maovu mbali mbali, wanakaa kimya huku maovu yakiendelea kushamiri badala ya kuwakemea watenda maovu, wanawakumbatia the so called Viongozi wanaotenda maovu mbali ikiwemo mauaji. Sasa hivi baadhi wameacha kwenda misikitini na makanisani pia kuacha kutoa sadaka.
I stand with you . You nailed it
 
Sidhani wewe ni kato;iki. Hakuna mahali ambapo wakatoliki wanaambiwa waabudu sanamu. Zile picha siyo Mungu wala Yesu wala Bikira Maria. Ile ni mifrano na mfano ni "representation of reality but not reality itself".
Soma Kutoka 20:4.
Siku ya Ijumaa kuu Kuna sehemu ikifika ibadani huwa tunaambiwa inafuata ibada ya kuabudu msalaba. Ambapo huwa tunabusu msalaba wenye sanamu.
Halafu Ile mipicha tunayosema kuwa ni ya Yesu na wakati ni ya muigizaji flani tunakosea Sana kwa kweli. Sidhani Kama wakati wa Yesu kulikuwa na technologies ya upigani picha.
Anyway sitaki kubishana Sana. Muhimu tupambane kutenda mema ili siku ya mwisho twende mbinguni tukakutane na Yesu na Mungu wa ukweli.
 
Kusoma hakutoshi nimekuuliza una uhakika na ukweli wa hizi habari ? Hujajibu swali bado.
Basi inaoneka hukuelewa; sina uhakika nzazo ndio maana nashangaa kwa nini biblia inatueleza jinsi gani wafalme wa zamani walikuwa na wake wengi na michepuko juu alafu biblia hiyo hiyo leo inatuambia kinyume
 
Shida zikiongezeka wataongezeka kwenda kupata Opium of the Mass

Ingawa watu kugeuza imani kama vitega uchumi wanawapoteza wale ambao they need them more.... (Given the choice wanaona bora wateseke kivyao kuliko kuteseka huku wanakamuliwa)
 
Back
Top Bottom