mwandiga
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 1,506
- 664
Kutokuwa na dini sio kwamba hawaamini Mungu yupo. Dini ni taasisi tu ambazo siku hizi zimekuwa zikichukua pesa kwa waumini hadi anatoka damu. Dini na madhehebu yanatofuautiana taratibu, sala, miongozo, matumizi ya sadaka lakini Mungu ni mmoja na habadiliki. Kuliko kunyonywa hivi ni bora ubaki huna dini utajuana na Mungu siku ikifika. Dini sio Mungu na Mungu sio dini. Dini ni sawa na chama cha siasa tuHabari 👋🏾
Nimefanya tafiti katika vipindi, nyakati na maeneo tofauti na inaonekana wazi ushawishi wa dini unapungua kwa kasi kubwa sana.
Inaonekana wengi kutokuwa na hakika katika dini mbalimbali na wengi wao bado wanajaribu kujionesha katika ngwe hiyo kwa sababu kadhaa ikiwemo kutokataliwa na jamii hizo.
Je, ni ipi sababu ya ukuaji wa kiwango hiki cha watu kutokuwa na dini kama ilivyozoeleka?