Naona wengi wanaona ni kama tuhuma za kutengeneza...
Of course, kutengeneza kupo tena sana tu, na wakati mwingine kwa ajili ya hype au matarajio ya settlement!
Lakini wakati mwingine hayo yanayowakuta mastaa ni yale yale ambayo hata sisi wa kawaida huwa tunayafanya mara kwa mara lakini ndo vile tena!
Hebu sie wanaume wa kawaida tujiulize wenyewe....
Ni mara ngapi tumekuwa tukisema "yaani demu aingie hadi ghetto halafu atoke hivi hivi?"
Hapo tafsiri yake ni: "ametaka, asitake, ataliwa tu"
Na kweli tushakula sana mademu kwa staili hiyo haidhuru hata kama baada ay hapo majority huwa wanachukulia poa tu
Bisheni!!
Hata kwa sheria za Tanzania, hapo man umebaka... ndo vile na mademu wenyewe wanachukulia poa lakini akikupeleka kwa pilato na ikathibitika umemla bila ridhaa, my friend, hapo umembaka!!!
Na kwanini asichukulie poa wakati hata akimsimulia mamake mzazi kwamba amebakwa na akisema alienda mwenyewe ghetto kwa mshikaji basi hata mama yake mzazi nae ataona "kataka mwenyewe"
Lakini kisheria, ile eti kaingia mwenyewe hadi ghetto, ni excuse isiyo na nguvu yoyote..
Na kwa sheria zetu, unaweza kabisa ikawa ulikubaliana nae hapo kabla, tena kama umepelekwa kwa pilato unaenda pale with confidence na SMS zako ukionesha alikubali aje munyanduane, my friends, hiyo haitakusaidia provided kama baada ya kuja ghetto, ukaanza kutumia nguvu!!
Je, mara ngapi tumekuwa tukifanya hivyo?
Kwa kifupi, sheria zetu zinaangalia consent, yaani mwanamke mwenyewe kukubali kukulana na wewe! Hata hivyo, consent inayoangaliwa na wakati wa kufanya tendo lenyewe!! Kwahiyo, YES, wakati anatoka kwao alijua kabisa anaenda kutoa tunda kwa hiyari yake mwenyewe lakini amefika ghetto, anagoma...
Man, hapo ikishathibitika kwamba kulikuwa na penetration, na ikathibitika kulikuwa na struggle kati yenu... labda katika kuhakikisha hatoki bila kulia, ukawa umem-tight kisawasawa hadi ukaacha alama za mshike mshike mwilini mwake, man, hapo you're done na hata kama moja ya messages zake ilikuambia akija mtie hadi mbususu ichubuke, hiyo wala haitakusaidia kwa sababu physical struggle itathibitisha hapakuwa na consent DURING SEXUAL Intercourse!!
Sasa kama hata wewe mwenyewe ushafanya sana hayo, utashangaa yakija kufanywa na hao akina Benzema?!
Na kuna siku nilikuwa naongea na washikaji fulani fulani hivi, nikawaambia wazi hata US,back in 1980's kurudi nyuma haya mambo yanayowakuta akina Cosby leo hii na wenyewe walikuwa wanachukulia poa tu kama ambavyo leo hii tunachukulia poa Bongo!
Lakini Bongo hii hii, watu wakishaamka, usije kushangaa miaka 20 ijayo unakuja kusikia akina Kiba na Diamond nao wanafunguliwa mashtaka ya unyanyasaji wa kingono "wanaofanya sasa" lakini wanaofanyiwa hayo hivi sasa wamekausha!