mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Kwakweli hata mimi naliona Hilo na ndio maana Kuna haja ya kufikiria maisha baada ya D9 kufeliKwanza kabisa hayotokaa yafanikiwe .Maana Gen Z hawana kiongozi .Maandamanao ya Shaghala bagala. Pili kesho watu hawatoki .Mark my words.
Kwanza kabisa hayotokaa yafanikiwe .Maana Gen Z hawana kiongozi .Maandamanao ya Shaghala bagala. Pili kesho watu hawatoki .Mark my words.
Very true atleast Jeshi lingekuwa linawaunga mkono.Ila hakuna kitu kama hicho.Maandamano hayaeleweki .Refer Maandamano ya Kenya 2007.Kulikuwa na Raila Ondinga na wenzake na kulikuwa na sababu za msingi. Maandamano ambayo yangefanikiwa ni kama Chadema wangeshiriki uchaguzi na kuibiwa kura zao wazi wazi.Hapo ndo kingenuka zaidi believe me kungekuwa hata na kushare madaraka.Tatizo wale vilaza nao eti wakakataa kushiriki .Kwakweli hata mimi naliona Hilo na ndio maana Kuna haja ya kufikiria maisha baada ya D9 kufeli
Lione nalo hili!Jaribu kuandamana uone moto wake .
Haya mapambano chadema wanayaangalia kama mpira wa Kona , isipokuwa Lissu pekee na hilda newton akiwa mbali, ila kwa sasa hakuna kiongozi wa chadema aliye nchini anaehamasisha D9 waziwazi, wao wanadai haki bila kuyataja haya maandamano Wala kuyatilia mkazo, wanasubiri tuwapiganie ili wapite na fursa, dawa nisis wananchi kuwakataa hata na wao nakuanzisha chama kipya tu maamae!!Very true atleast Jeshi lingekuwa linawaunga mkono.Ila hakuna kitu kama hicho.Maandamano hayaeleweki .Refer Maandamano ya Kenya 2007.Kulikuwa na Raila Ondinga na wenzake na kulikuwa na sababu za msingi. Maandamano ambayo yangefanikiwa ni kama Chadema wangeshiriki uchaguzi na kuibiwa kura zao wazi wazi.Hapo ndo kingenuka zaidi believe me kungekuwa hata na kushare madaraka.Tatizo wale vilaza nao eti wakakataa kushiriki .
Akil yako imejaa mav nzi wa kijanKwanza kabisa hayotokaa yafanikiwe .Maana Gen Z hawana kiongozi .Maandamanao ya Shaghala bagala. Pili kesho watu hawatoki .Mark my words.
Mav yakoJaribu kuandamana uone moto wake .
Viongozi wa nchi yangu ninavyowafahamu badala ya kutumia hiyo fursa kushukuru wananchi kwa kuwasikiliza na kuchukua uamuzi wa kutokuandamana. Wao pamoja na chawa wao watatumia hiyo fursa kuwachamba raia. Wakati hiyo ndio ilitakiwa iwe hatua ya kwanza katika kuleta umoja wa kitaifa. Kitu cha uhakika kutoka kwao ni vichamboNyuzi zimekua nyingi kuelekea D9, huku sisi wazalendo wa Tanganyika tukiwa tumetimiza wajibu wetu kikamilifu kwa kuzima ajenda za machawa kina Lucas Mwashambwa na Genge lao.
Sasa Siku yenyewe ni kesho . swali la kujiuliza hapa ni maisha baada ya D9 ikiwa maandamano hayatofanikiwa. Je ibilisi atajiinua zaidi nakuupoka uhuru wetu wa kutoa maoni na haki ya kuchagua viongozi tunaowataka milele??.
Au shetani na malaika wake watajivika ngozi ya kondoo na kuamua kula na vipofu?
Nipe mtazamo wako,ili nitoe nami wangu.Nyuzi zimekua nyingi kuelekea D9, huku sisi wazalendo wa Tanganyika tukiwa tumetimiza wajibu wetu kikamilifu kwa kuzima ajenda za machawa kina Lucas Mwashambwa na Genge lao.
Sasa Siku yenyewe ni kesho . swali la kujiuliza hapa ni maisha baada ya D9 ikiwa maandamano hayatofanikiwa. Je ibilisi atajiinua zaidi nakuupoka uhuru wetu wa kutoa maoni na haki ya kuchagua viongozi tunaowataka milele??.
Au shetani na malaika wake watajivika ngozi ya kondoo na kuamua kula na vipofu?
Sikukuu zote ni mwendo wa maandamano yaani kila siku kuwaweka juani kwa miaka mitano mpaka wachoke then waamue wachukue nchi ili kuepuka mateso ya kushinda juani.Nyuzi zimekua nyingi kuelekea D9, huku sisi wazalendo wa Tanganyika tukiwa tumetimiza wajibu wetu kikamilifu kwa kuzima ajenda za machawa kina Lucas Mwashambwa na Genge lao.