Nini kitafuata ikiwa maandamano ya D9 hapo kesho hayatofanikiwa?

Nini kitafuata ikiwa maandamano ya D9 hapo kesho hayatofanikiwa?

Nyuzi zimekua nyingi kuelekea D9, huku sisi wazalendo wa Tanganyika tukiwa tumetimiza wajibu wetu kikamilifu kwa kuzima ajenda za machawa kina Lucas Mwashambwa na Genge lao.

Sasa Siku yenyewe ni kesho . swali la kujiuliza hapa ni maisha baada ya D9 ikiwa maandamano hayatofanikiwa. Je ibilisi atajiinua zaidi nakuupoka uhuru wetu wa kutoa maoni na haki ya kuchagua viongozi tunaowataka milele??.

Au shetani na malaika wake watajivika ngozi ya kondoo na kuamua kula na vipofu?
Binafsi natamani maandamano kesho yasiwepo kwasababu kuu tatu
1. 29 ilifanya Kila kitu claims zimefika kwa namna ambayo wao hawakuamini kama zingefanyika
2. Ni kupoteza nguvu while all this week zimetumika nguvu nyingi sana kutoa ahadi ambazo naamini hawatazitimiza natamani tiwape muda ili waliyosema nje ya ilani ya chama Chao watatimizaje then tutakufa na reason kama ilivyo kwenye 29
3. Wameshajua wamekosea wapi ila mbaya zaidi tukio la hivi karibuni la mtu kupoteza kama watatolea majibu it's clearly wamejirekebisha
Mwisho
Hii ya kesho siitamani maana ujumbe wa 29 ulikua unatosha
 
Believe me wangeshiriki uchaguzi na kuibiwa wazi wazi .Kingenuka zaidi ya ile Octoba 29.Maana Samia hakubaliki kabisa.Basi tu Chadema walicheza karata zao vibaya.
No way.... Kama Lissu alivyowekwa ndani kungekuwa na rabsha walau kidogo hilo lingewezekana. Ktu ambacho hujui ni kuwa maandamano ya 29-10 hayakuwa maandamano ya CHADEMA per se, hivyo uchama uliondoka. CHADEMA waliweza kukwepa mtego ambao walikuwa wanaingia kila uchaguzi. Wangekuwa kama ACT.... watu hawakuwaonea huruma hata kidogo kwa sababu waliyataka wenyewe. Imaging... hata Zitto watu wake walikataa kumpigania? Ni kweli Samia anachukiwa lakini mtego wa kuingia kwenye uchaguzi inakuwa kama chama kimeshakubali kanuni na maamuzi ya tume.
 
Kweli kabisa dada yangu, yule mdada amepotosha na kupoteza wengi mno, ile kusema jeshi lipo na wananchi badala yake wamekufa wananchi wengi sana wasio na hatia!
Kesho yake anatuambia sijui nyerere aligawa jeshi hivyo hawawezi kupindua serikali!
Angesema hivyo jana yake unadhani watu wangekufa kiasi kile?

Wengi hatupendi utawala wa samia na ccm lakini asilani kwa mtindo huu kamwe haitawezekana kuutoa madarakani huu utawala.
Wewe umekalisha magololi nyumbani halafu unategemea wengine waoandoe utawala wa CCM. Idiot!
 
Ni hivi maandamano hayafanikiwi kama unabisha toka ukaandamane uone kitakacho kukuta ni nini, na baada ya hapo kila nyumbu anaehamasisha uhalifu atatafutwa na kuchukiliwa hatua kali.

Hakuna huruma kwa nyumbu.
 
Ni hivi maandamano hayafanikiwi kama unabisha toka ukaandamane uone kitakacho kukuta ni nini, na baada ya hapo kila nyumbu anaehamasisha uhalifu atatafutwa na kuchukiliwa hatua kali.

Hakuna huruma kwa nyumbu.
29288.jpg
 
Maandamano yanayoendeshwa na wapumbavu fulani wako nje ya nchi
Waje hapa waingie rodini kama kufa na wao wafe ndio tujue wana machungu
Asilimia kubwa ya uchochezi inatoka kwa wabongo mafisi wanaoshi nje ya nchi, huku wakiwachochea watoto wa masikini wakafe
Na watt wa matajir akinabdul wale mema ya inji au sio wewe malaya
 
Sawa ila kesho si mbali.Time will tell.
Hakuna mafanikio zaidi ya haya... Yani nchi kuwa locked down ni mafanikio tosha.. Ujumbe unafika duniani.
Huoni hata ww umeshindwa ipeleka Leo ikachakatwe..🤪🤪🤪
 
Hakuna mafanikio zaidi ya haya... Yani nchi kuwa locked down ni mafanikio tosha.. Ujumbe unafika duniani.
Huoni hata ww umeshindwa ipeleka Leo ikachakatwe..🤪🤪🤪
hata watu wakiuliwa mtasema ni ushindi
 
Unafikiri kile kipondo Cha Oktober 29 na 30 kilikuwa Cha mchezo mkuu ile ilikuwa balaaa
 

Attachments

  • little_big_store_4266693.mp4
    3.8 MB
Back
Top Bottom