Nini kitafuata ikiwa maandamano ya D9 hapo kesho hayatofanikiwa?

Kama maandamano kesho hayatqfanyika basi itakuwa balaa kubwa sana kwa maana lazima yatapangwa mengine ambayo yatakuwa mwiba mkali kwa watawala.

Bora yafanyike kwa sasa yakishindikana watawala watakuja kujuta maana yatakayopangwa ni hatari zaidi.
 
Haya ni moja ya maandamano ya hovyo kabisa Duniani ambapo kabla hata hayajafanyika wanaokusudia kuandamana tayari wameshindwa kwa 97% (ni sula la hesabu ndogo tu ya probability)
Mtu hata ukimuuliza Maandamano ni Nini hajui? unategemea kuna kitu hapo
Tatizo vibaka ndo waliobeba ajenda ya maandamano na sio wananchi wote na ndo mana waliowengi wamekimbia mji wakijua ni vibaka watakaowasababishia matatizo
 
Kwani maandamano YALIYO pita alituhamasisha nani, inshu ni kufungua kanisa la GWAJIMA hapo ndo ilipozwa inshu, lakini kwa sasa haiwezekani kuandamana mana hamna sababu kubwa tusubiri mbeleni wapige hela tujuzwe ili kinuke tena si kwa sasa
 
Hayakufanikiwa mana serikali bado ipo na malengo ilikua kuiondoa
Mkuu yale maandamano yamefanikiwa kwa asilimia 99.99 ukitaka kujua yalifnikiwa au laa subiri kufikia mwezi wa tatu ambapo Samia atapata warranty ya kukamatwa Toka ICC.

Huoni kuwa ni mateso kwa mtu kama yeye kufia ICC badala ya kupumuzika na kulea wajukuu wake!?
 
Maandamano yasiyo na kikomo: mpaka mafanikio. Nini hauelewi mkuu?
 
ICC ni matokeo tu mkuu lengo la maandamano lilikua lipi??
 
‎Wanachofeli Gen Z.
‎
‎1.Kupata silaha za moto hapa mtakuwa mmemaliza mzizi wa fitina na hili litakokea kama kutakuwa na mgawanyiko jeshini na WA kina tesha watokee wagawie wananchi silaha.
‎
‎2.choma majengo yote ya wizara,hifadhi,migodi,Kambi za jeshi,CCP,bandari,Ikulu zote,vituo vikuu vya Kila mkoa.kimara pale choma mitambo yote ya Tanesco choma mawasiliano Treni ya umeme piga kiberiti ,
‎Ma generator ya bwawa la Nyerere piga kiberiti ,
‎
‎3.mimi nikishapata AK 47,72au 102 na SMG namalisha ishu zote
 
Kwanza kabisa hayotokaa yafanikiwe .Maana Gen Z hawana kiongozi .Maandamanao ya Shaghala bagala. Pili kesho watu hawatoki .Mark my words.
Uko mkoa gani mama?
Mbona huku kwetu muda huu tayari kazi ishaanza subiri kesho asubuhi kupambazuke kuna bonge la surprise!
 
ICC ni matokeo tu mkuu lengo la maandamano lilikua lipi??
Mkuu nikuulize Kwanza,unaamini kuwa ICC Ina hamu na Samia the Butcher?

Kama unaamini hivyo basi tambua ukienda mawindoni ukikosa kwale Rudi na bundi
 
Una uhakika na unachoongea?

hata ile tar 29th, mikoa iliyofanya Political Looting ni kama 7 kati ya mikoa 26 na kwa sasa mwamko umepungua kwa 75% kwa kuwa yapo tu shaghala baghala....Genz 75% hata hawajui wanataka nini zaidi ya kusema tu mama atoke? badala ya kusema kwa nini wanataka atoke....Bila hoja zilizosimama mengine yote ni kupotezea watu muda na kuwapa hasara......Kwa walio soma hesabu watanielewa........
 
Uko mkoa gani mama?
Mbona huku kwetu muda huu tayari kazi ishaanza subiri kesho asubuhi kupambazuke kuna bonge la surprise!
Nipo kwangu kijijini Mbweni ,ninakula upepo wa Bahari.Kesho ninajiamkia zangu kulisha ng'ombe zangu.Na kukamua maziwa.
 
Sio ulikuwa mchezo ule
 
Uko mkoa gani mama?
Mbona huku kwetu muda huu tayari kazi ishaanza subiri kesho asubuhi kupambazuke kuna bonge la surprise!
Yaani kesho waki1ndamana.Basi mimi itakuwa ninaishi nchi nyingine na sijui uhalisia wa maisha ya watanzania kwa sasa.
 
Umeandika jambo ambalo watu wengi hawaoni,but ukichambua vizuri ni wazi mwisho wa CCM yetu umefika.Kiufupi uamuzi aliochukua Mama wa kumuweka Lissu ndani ulikuwa ni mzuri kisiasa kama kusingetokea yaliyo tokea-baada ya kutokea hayo ya Oktoba kete ipo upande wa CDM-maana katika ucgauzi ujao wanaweza kugawana viti na CCM,vinginevyo CCM ifanye ubabe kitu ambacho kitakuwa ni risk sana.
Mchezo umebadilika na unawafeva zaidi CDM kuliko sisi CCM.
Mungu tape uzima_tuone mwisho wa hii game.
 
M
Mkuu hao wabunge wangewapata vipi ilihali mtangazaji hana ubavu wa kumtangaza mtu mwingine?
 
Eti mtu anatamka "tutoke wengi"Yeye yupo huko Calfornia saafi kabisa.Kwenda tu pale Washington alijificha kwenye gari. Hakushuka.Halafu manyumbu yanadanganyika na mtu kama huyo.Binafsi simkubali Samia ila kwa vile ana power,miaka 5 si mingi.
Kweli kabisa dada yangu, yule mdada amepotosha na kupoteza wengi mno, ile kusema jeshi lipo na wananchi badala yake wamekufa wananchi wengi sana wasio na hatia!
Kesho yake anatuambia sijui nyerere aligawa jeshi hivyo hawawezi kupindua serikali!
Angesema hivyo jana yake unadhani watu wangekufa kiasi kile?

Wengi hatupendi utawala wa samia na ccm lakini asilani kwa mtindo huu kamwe haitawezekana kuutoa madarakani huu utawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…