Nini kitakuuma zaidi?

Nini kitakuuma zaidi?

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,136
Reaction score
32,268
Mpenzi wako kuwa na mtu mwingine kimapenzi,au kuwa na hisia kwa mtu mwingine...?

inasemekana wanaume Enzi hizooo,walikuwa wanaumia wake zao wakifanya mapenzi na mtu mwingine sababu ya kutokua na uhakika wa watoto waliozaliwa kama wao(parteinity)....😀😀,hii inawafanya waumie wakiona wapenzi wao wako involved na mtu mwingine sexually..wanaumia hata kama hata wao wanachepuka...lol

Wanawake wanaumia pale wapenzi wao wakiwa involved kihisia/ na mtu mwingine,sababu wao as opposed to men,wana uhakika mimba walizobeba ni watoto wao😀😀 ila wanahitaji support kutoka kwa wanaume kuwalea watoto ,kipesa au time,So wakiona mwanaume yuko involved na mtu mwingine kihisia wanaumia na kuwa depressed sababu resources na attention zinapewa mchepuko.....

siku hizi mambo yamebadilika lakini,wote tunaumia with both infidelities,sexual and emotional (LOL)

nilikua ningependa kujua kipi kitakuuma;mpenzi wako akiwa na mtu mwingine kingono au kihisia....

je mnasupport hizo theories za babu zetu?lol Why?😀
 
maumivu ni maumivu tu I we unachapiwa na umpendae au hana hisia nawe ,ndo utajua kwann dalali anaumia zaidi pale anapojua naye amedalaliwa.mapenzi yanauma.
 
Kihisia wala siwezi kuumia , ila kingono itaniumaa sana koz vipo vya kushare lakini sio mapenzi.

Mimi nikihakikisha kabisa mke wangu kagawa k Kwa mtu mwingine hapo ni taraka tatu na hakuna kurudiana tena
 
Kwa nni usianzishe mahusiano mahali salama badala ya kufikia hatua ya ku shed blood.
Mambo ya cheating ni mambo huwezi yatabiri kama vile usivoweza kutabiri yabia ya mtu baada ya miaka mitano ijayo. In that sense, hakuna uhusiano unaweza kuuita mahali salama as long as maisha nayo yanabadilika. Anything can happen huko mbeleni, kwani wangapi wamesalitiwa na watu hata hawakuwatazamia?
 
Aise inauma sana nashindwa kueleza hapa ni kwa jinsi inavyouma.....

Ni bora usijue kabisa maana mambo yako yote yatakwama kwa muda....

Ni hivyo tu love....
 
usijali lovey,nitafanya siri nikichepuka...😀😀😛😛
Hahah fanya kila kitu ila nisijue tu maana nitakuwa dissapointed kwelikweli lovie...

Maana kuna mawazo fulani huwa yanakuja akilini the way mke wako anavyokunjwa kunjwa kwa kitanda uwiii u will end up burst into tears lovie....

Halafu haya mambo huwa yanatatiza sana kwa mwanamme ku cheat na mwanamke mwingine anaona poa ila akichapiwa anaweza kuwa chizi [emoji20] [emoji20]
 
Back
Top Bottom