Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
- Thread starter
-
- #341
Kumekucha na kunazidi kucha!Subiri atoke ndo utajua
Duh hii nimekubali apewe zawadi kubwa ya heshimaZawadi ya kummaliza mzalendo ?
Tindo naona uliweka unabii hapa. Bigup BroAmani na upendo wa kweli utarejea na sio hofu na nidhamu za kinafiki. Utawala wa sheria utarejea na sio sheria zinazomfurahisha rais. Ccm itarejea kuwa chama cha siasa, na sio kikundi cha dola kilichojificha kwenye koti la siasa kupitia madaraka ya urais. Uhuru wa vyombo vya habari utarejea na serikali itarudi kuwa ya uwazi. Bunge latarudi kuwa Muhimili unaojitegea na sio hekalu la kumsifia rais na kutii kila atakacho. Mahakama itarejea na kutekeleza wajibu wake wa kutoa haki, na sio kuwa taasisi ya kukosoa wote wasiomsujudia rais. chaguzi za nchi zitarudisha heshima yake, na sio kama sasa kuwa maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Ushajua hadi alipo. Unataisha!Duh hii nimekubali apewe zawadi kubwa ya heshima
Bila hivyo huyu jamaa alitaka kutawala maisha, acha akawaongoze malaika km nao wapo jehanamu
Anajua nini yule pimbi.. Makamba Sr anakwambia "ilifika mahali wazee tukasema basi inatosha"...hao ndo waulizweMtu kama bashiru ally anatakiwa kutoa maelezo ya kina sana kuhusu kifo za bwana magufuli
I hope umepata majibu sasa.Habari wadau wa JF siasa.
Nimekuwa nikiwaza Sana sura ya nchi na hali ya nchi hii baada ya Rais Magufuli kumaliza mihula yake miwili. Je nchi itakuwaje kirushwa na kifisadi, kiuchumi, kisiasa, kijamii, kimaendeleo nk?
Ajaye atakuwaje na atatupeleka wapi jamii ya Kitanzania kipindi hicho kitakuwaje?
Overseer! Good!Amani na upendo wa kweli utarejea na sio hofu na nidhamu za kinafiki. Utawala wa sheria utarejea na sio sheria zinazomfurahisha rais. Ccm itarejea kuwa chama cha siasa, na sio kikundi cha dola kilichojificha kwenye koti la siasa kupitia madaraka ya urais. Uhuru wa vyombo vya habari utarejea na serikali itarudi kuwa ya uwazi. Bunge latarudi kuwa Muhimili unaojitegea na sio hekalu la kumsifia rais na kutii kila atakacho. Mahakama itarejea na kutekeleza wajibu wake wa kutoa haki, na sio kuwa taasisi ya kukosoa wote wasiomsujudia rais. chaguzi za nchi zitarudisha heshima yake, na sio kama sasa kuwa maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Unabii umetimia1. Miradi mingi ambayo aliianzisha itasimama
2. Chattle kitabaki kijiji kama zaman tena enzi za nyerer kabisa
3. Uwanja wa chattle utakuwa eneo la kuchezea mpira na matamasha ya dini
4. Viongozi wengi wataonyesha uhslisia wa kipindi cha mzee magufuli..
Ntakuja baadae kidogo.. Naenda kwenye uzi wa kula tunda kimasihara
Wana JF,Kwanza kabisa naomba Mungu atujaalie tusifike hata mwaka mmoja kabla ya hili janga kutuondokea. Mungu mwenyewe ndie anaejuwa vya kuliondosha. Mungu ana njia nyingi!
.......!!!Atazikwa kisha tutamsahau ila ukatili na roho mbaya yake vitabaki mioyoni mwetu
Nimeyapata kabisa, tena mwaka haukuisha tangu niandike uzi.I hope umepata majibu sasa.
Watu Kama ManabiiWana JF,
Mungu alisikia sala hiyo hapo juu wa wagagagigi akatenda tarehe 17/03/21.
... uliandika Januari 30; yakatukia Machi 17 mwaka huo huo! Zilipita siku 46 tu.Nimeyapata kabisa, tena mwaka haukuisha tangu niandike uzi.
Daaaaahhh, Yaani!!... uliandika Januari 30; yakatukia Machi 17 mwaka huo huo! Zilipita siku 46 tu.
Haya yote yametimia.1. Miradi mingi ambayo aliianzisha itasimama
2. Chattle kitabaki kijiji kama zaman tena enzi za nyerer kabisa
3. Uwanja wa chattle utakuwa eneo la kuchezea mpira na matamasha ya dini
4. Viongozi wengi wataonyesha uhslisia wa kipindi cha mzee magufuli..
Ntakuja baadae kidogo.. Naenda kwenye uzi wa kula tunda kimasihara
Miradi gani ya maana imesimama?Haya yote yametimia.