Nini kitatokea baada ya Magufuli kustaafu Urais?

Nini kitatokea baada ya Magufuli kustaafu Urais?

Duh hii nimekubali apewe zawadi kubwa ya heshima
Bila hivyo huyu jamaa alitaka kutawala maisha, acha akawaongoze malaika km nao wapo jehanamu
Kwa tetesi ni Kuwa Magufuli hajafa na atarudi, subirini maajabu😁😁😁😁
 
Kwanza kabisa naomba Mungu atujaalie tusifike hata mwaka mmoja kabla ya hili janga kutuondokea. Mungu mwenyewe ndie anaejuwa vya kuliondosha. Mungu ana njia nyingi!
Ulimwombea mabaya Sana Mzee wa watu
 
Hata nawe Kalamu1 hujui mbinu za madikteta? Kama ni kujibu angemjibu Ndugai. Badala yake Ndugai kapita bila kupingwa. Msema tawire namba moja.
Keisi atapewa mkoa. Nkamia, Mwanri(Mungu amshukuru Magu), Kangi/Nabali(Magu zaidi ya Yesu) wote mikoa 2025. Sasa hivi wanaonekana wamepigwa chini. Anafanya political distancing. Gelesha tu. DAB atawaunganisha. Political logistics!
Kila mkoa na wake. Maandamano yasiyokoma wiki nzima. Badala ya mwenge, haya moto. Anaombwa na wananchi kuendelea. Political mobilization. Makanisa na misikiti ya mteule wa Mungu yatafunga na kuomba.
Hitimisho bungeni. Ndugai anatangaza. Wananchi wamlazimisha rais kuendelea. Ingawa kwa shingo upande amekubali. Kasikia kilio cha wananchi. Kaitika. Tanzania, Tanzania nakulove!
Magufuli alipoitwa mungu na akina Kabudi na Aggrey Mwanri akadhani ni mungu kweli. Ila March 17, 21 Mungu wetu aliyehai akamuonyesha Magu kuwa yeye si lolote mbele ya makamasi ya corona
 
Magufuli alipoitwa mungu na akina Kabudi na Aggrey Mwanri akadhani ni mungu kweli. Ila March 17, 21 Mungu wetu aliyehai akamuonyesha Magu kuwa yeye si lolote mbele ya makamasi ya corona
Hatari sana
 
Magufuli alipoitwa mungu na akina Kabudi na Aggrey Mwanri akadhani ni mungu kweli. Ila March 17, 21 Mungu wetu aliyehai akamuonyesha Magu kuwa yeye si lolote mbele ya makamasi ya corona
Magufuli alikufa siku 10 tarehe 17 March
 
Back
Top Bottom