Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
- Thread starter
- #381
Angebadili katiba au?Asingestaafu huyo jiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angebadili katiba au?Asingestaafu huyo jiwe
Vyovyote kwa sababu hata alipokuwa rais hakuwa anafuata katibaAngebadili katiba au?
🤣🤣1. Miradi mingi ambayo aliianzisha itasimama
2. Chattle kitabaki kijiji kama zaman tena enzi za nyerer kabisa
3. Uwanja wa chattle utakuwa eneo la kuchezea mpira na matamasha ya dini
4. Viongozi wengi wataonyesha uhslisia wa kipindi cha mzee magufuli..
Ntakuja baadae kidogo.. Naenda kwenye uzi wa kula tunda kimasihara
Hapa kweli palikuwa na kaziNchi itakuwa kwenye madeni makubwa
Nchi itakuwa kwenye umasikini.
Magufuli anaua uwekezaji, anaua ajira nchini kwa sababu zisizo na kichwa wala miguu.
Hivi huyu mwekezaji hapa chini kosa lake ni nini?
View attachment 1690196
Jamaa alikuwa na kichaaHapa kweli palikuwa na kazi
Na kichaa kilimpendeza kwelikweliJamaa alikuwa na kichaa
Safari hii kafukuzwa yeye. Kuna mtu alisema aliyezoea kunyofoa watu safari hii ananyofolewa yeye.Na moja ya vitu vinavyo fanya nimeheshimu mwenyekiti Mbowe. Ni discipline Chamani, akitamka hata vitu vyenye maswali mengi Chama kinatulia hakuna kelele. Sio mwenyekiti kasema , na wengine wanatoa kauli, na waliojaribu walifukuzwa Chadema bila msamaha. Ni mwendo wa kutii tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado mmoja, naye anyofolewe tuSafari hii kafukuzwa yeye. Kuna mtu alisema aliyezoea kunyofoa watu safari hii ananyofolewa yeye.