Nini kitatokea baada ya Magufuli kustaafu Urais?

Nini kitatokea baada ya Magufuli kustaafu Urais?

1. Miradi mingi ambayo aliianzisha itasimama

2. Chattle kitabaki kijiji kama zaman tena enzi za nyerer kabisa

3. Uwanja wa chattle utakuwa eneo la kuchezea mpira na matamasha ya dini

4. Viongozi wengi wataonyesha uhslisia wa kipindi cha mzee magufuli..

Ntakuja baadae kidogo.. Naenda kwenye uzi wa kula tunda kimasihara
🤣🤣
 
Na moja ya vitu vinavyo fanya nimeheshimu mwenyekiti Mbowe. Ni discipline Chamani, akitamka hata vitu vyenye maswali mengi Chama kinatulia hakuna kelele. Sio mwenyekiti kasema , na wengine wanatoa kauli, na waliojaribu walifukuzwa Chadema bila msamaha. Ni mwendo wa kutii tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Safari hii kafukuzwa yeye. Kuna mtu alisema aliyezoea kunyofoa watu safari hii ananyofolewa yeye.
 
Back
Top Bottom