Ukiijua elimu ya namba na cords zake huwezi kuumiza saana kichwa.
Kwa ufupi baada ya namba 5 kutoka nchi haitatengemaa na kupata uchumi imara,hadi atakapo ingia Rais wa 8.
Rais wa 6 anaweza kua rais asiejiamini kuliko ote,na atakua mwenye hasira na kukulupuka kuliko ote.kutokana na kutojiamini kwake atayumbishwa sana.
Ila atakuza elimu,sanaa,biashara,mambo ya watoto.nk.
Mbaya zaidi yakitokea maladh kama haya ya sasa atashindwa kuyadhibiti.
Ajira,watu wajiajili wenyewe na wachapekaz wenyewe tena kwa bidii hasa.
Maana tusipoangalia hali itakua ngumu mala 2 ya sasa.