Samahan kwa wale naweza kuwakwaza. Ila nilikuwa naomba tujiongeze ktk jambo moja ambalo kwa macho ya mbali ningependa tulitafakari.
Mh Rais kwa speed anakimbiza nikama 2020 ccm ikalamba viti vingi vya ubunge kupita wakati wote na jambo la hatari zaid Uwenda wana ccm kwa umoja wao pale bungen baada ya mabadiliko fulan wanaweza kusema ndiooooooo muda wa mkuu kuongezwa je nini kitatokea?
Ikumbukwe mwenyekiti ccm ndio Rais na ndie anapitisha Majina yote ya wateule hivyo sidhan kama litapita Jina mfu lazima ulambe kiatu cha mwenyekiti.
Mkuu anaujuwa mfumo na zipo projects Uwenda kama asipo maliza zitaleta maafa makubwa sana maana watakao kuja watazipiga chini.
Embu tutafakari nini kitatokea na mbaya zaid itakuwaje kama mkakati utakuwa mwanzon mwa term yake ya pili?
Rais amesema hana mpango wakuendelea kuongoza baada ya ten years je wandani wake watamuelewa ama wanapiga kimya walianzishe baada ya kuingia term ya pili?
Update
Jamani mmesikia majibu , spika kwa Mh Ally? Someni , hii thread muone kunawatu Mungu anatufunulia yasio onekana.
Leo ni 20.08.2020