Nini kitatokea endapo Magufuli atajiongezea muda wa kukaa madarakani?

Samahan kwa wale naweza kuwakwaza. Ila nilikuwa naomba tujiongeze ktk jambo moja ambalo kwa macho ya mbali ningependa tulitafakari.

Mh Rais kwa speed anakimbiza nikama 2020 ccm ikalamba viti vingi vya ubunge kupita wakati wote na jambo la hatari zaid Uwenda wana ccm kwa umoja wao pale bungen baada ya mabadiliko fulan wanaweza kusema ndiooooooo muda wa mkuu kuongezwa je nini kitatokea?

Ikumbukwe mwenyekiti ccm ndio Rais na ndie anapitisha Majina yote ya wateule hivyo sidhan kama litapita Jina mfu lazima ulambe kiatu cha mwenyekiti.

Mkuu anaujuwa mfumo na zipo projects Uwenda kama asipo maliza zitaleta maafa makubwa sana maana watakao kuja watazipiga chini.

Embu tutafakari nini kitatokea na mbaya zaid itakuwaje kama mkakati utakuwa mwanzon mwa term yake ya pili?

Rais amesema hana mpango wakuendelea kuongoza baada ya ten years je wandani wake watamuelewa ama wanapiga kimya walianzishe baada ya kuingia term ya pili?
"Kesho ni mbali sana. Hakunaaijuaye"
 
Magufuli anajifanya kipofu imani yake inamdanganya kuwa anawezatoboa kwa mawazo yake ya kishamba.hajaona ubabe wa mugabe ulipowafikisha wazimbabwe hadi sasa
Mugabe, Albashir, Gaddafi, Mubarak hawa wote walikuwa makamanda wa kijeshi sembuse yeye!
 
Samahan kwa wale naweza kuwakwaza. Ila nilikuwa naomba tujiongeze ktk jambo moja ambalo kwa macho ya mbali ningependa tulitafakari.

Mh Rais kwa speed anakimbiza nikama 2020 ccm ikalamba viti vingi vya ubunge kupita wakati wote na jambo la hatari zaid Uwenda wana ccm kwa umoja wao pale bungen baada ya mabadiliko fulan wanaweza kusema ndiooooooo muda wa mkuu kuongezwa je nini kitatokea?

Ikumbukwe mwenyekiti ccm ndio Rais na ndie anapitisha Majina yote ya wateule hivyo sidhan kama litapita Jina mfu lazima ulambe kiatu cha mwenyekiti.

Mkuu anaujuwa mfumo na zipo projects Uwenda kama asipo maliza zitaleta maafa makubwa sana maana watakao kuja watazipiga chini.

Embu tutafakari nini kitatokea na mbaya zaid itakuwaje kama mkakati utakuwa mwanzon mwa term yake ya pili?

Rais amesema hana mpango wakuendelea kuongoza baada ya ten years je wandani wake watamuelewa ama wanapiga kimya walianzishe baada ya kuingia term ya pili?

Update
Jamani mmesikia majibu , spika kwa Mh Ally? Someni , hii thread muone kunawatu Mungu anatufunulia yasio onekana.

Leo ni 20.08.2020
Majibu haya hapa..
FB_IMG_1597897120504.jpeg
FB_IMG_1597851553216.jpeg
1597897057871.jpeg
 
Ikitokea hivyo jua wale IS walioko Mozambique wanaweza kupata kisingizio cha kupanua shughuri zao mpaka hapo Dar
 
TUKUMBUSHANE Kwani Nduli Iddy amini alifanywa nini wakati alipotaka kujiongezea kipisi cha ardhi
 
Sasa hivi swali gumu ni """Nini kitatokea endapo Mbowe atagoma kuachia uenyekiti?""""
 
Nilikuwa naota nikaamka kumbe nimejikojolea ila soon nitalia tena Kwa machozi wakati Peter Msechu akiwa studio anandaa wimbo wa bubujiko kwenye tamasha uwanja wa Taifa , huku pande la kitenge chenye rangi ya madini katikati likiwa limeinama. Naamka nikanywe supu Pale Mbezi Mwisho wanapaita Mbuzi Online
 
Back
Top Bottom