Nini kitatokea endapo Magufuli atajiongezea muda wa kukaa madarakani?

Mkuu mm naona mtukufu wetu aendelea mpk atakapokamilika miradi mikubwa aliyoianzisha
Kama ujenzi wa bwawa la umeme Stglers Goji
Ma fly over
Ujenzi wa reli ya kisasa
Ndege
Maviwanda nk akikamilisha basi apo apokee mwingine maana anatoka atakaye kuja ataachana na hivi vipaumbele muhimu kwa maendeleo ya taifa
upo tayari aongezewe muda kwa masilahi mapana ya taifa
 
Magufuli anajifanya kipofu imani yake inamdanganya kuwa anawezatoboa kwa mawazo yake ya kishamba.hajaona ubabe wa mugabe ulipowafikisha wazimbabwe hadi sasa
soma mada utoe maaoni acha kumshambulia kiongoz bila sababu za msingi
 
Samahan kwa wale naweza kuwakwaza. Ila nilikuwa naomba tujiongeze ktk jambo moja ambalo kwa macho ya mbali ningependa tulitafakari.

Mh Rais kwa speed anakimbiza nikama 2020 ccm ikalamba viti vingi vya ubunge kupita wakati wote na jambo la hatari zaid Uwenda wana ccm kwa umoja wao pale bungen baada ya mabadiliko fulan wanaweza kusema ndiooooooo muda wa mkuu kuongezwa je nini kitatokea?

Ikumbukwe mwenyekiti ccm ndio Rais na ndie anapitisha Majina yote ya wateule hivyo sidhan kama litapita Jina mfu lazima ulambe kiatu cha mwenyekiti.

Mkuu anaujuwa mfumo na zipo projects Uwenda kama asipo maliza zitaleta maafa makubwa sana maana watakao kuja watazipiga chini.

Embu tutafakari nini kitatokea na mbaya zaid itakuwaje kama mkakati utakuwa mwanzon mwa term yake ya pili?

Rais amesema hana mpango wakuendelea kuongoza baada ya ten years je wandani wake watamuelewa ama wanapiga kimya walianzishe baada ya kuingia term ya pili?
Project gani ndugu mtoa mada ambazo atashindwa kukamilisha ndani ya miaka 10 hadi aongezewe muda!!?
 
Samahan kwa wale naweza kuwakwaza. Ila nilikuwa naomba tujiongeze ktk jambo moja ambalo kwa macho ya mbali ningependa tulitafakari.

Mh Rais kwa speed anakimbiza nikama 2020 ccm ikalamba viti vingi vya ubunge kupita wakati wote na jambo la hatari zaid Uwenda wana ccm kwa umoja wao pale bungen baada ya mabadiliko fulan wanaweza kusema ndiooooooo muda wa mkuu kuongezwa je nini kitatokea?

Ikumbukwe mwenyekiti ccm ndio Rais na ndie anapitisha Majina yote ya wateule hivyo sidhan kama litapita Jina mfu lazima ulambe kiatu cha mwenyekiti.

Mkuu anaujuwa mfumo na zipo projects Uwenda kama asipo maliza zitaleta maafa makubwa sana maana watakao kuja watazipiga chini.

Embu tutafakari nini kitatokea na mbaya zaid itakuwaje kama mkakati utakuwa mwanzon mwa term yake ya pili?

Rais amesema hana mpango wakuendelea kuongoza baada ya ten years je wandani wake watamuelewa ama wanapiga kimya walianzishe baada ya kuingia term ya pili?

hauna la kuwaza??

hawezi na haitatokea

ndani ya CCM kuna upinzani mkubwa kuliko nje ya CCM

hakuna mwana CCM atakubali hilo na usijidanganye

JK kikwete mlisema haya haya

waza mengine sio pumba hizi
 
...ilimradi saver ya JF iwe busy !
Samahan kwa wale naweza kuwakwaza. Ila nilikuwa naomba tujiongeze ktk jambo moja ambalo kwa macho ya mbali ningependa tulitafakari.

Mh Rais kwa speed anakimbiza nikama 2020 ccm ikalamba viti vingi vya ubunge kupita wakati wote na jambo la hatari zaid Uwenda wana ccm kwa umoja wao pale bungen baada ya mabadiliko fulan wanaweza kusema ndiooooooo muda wa mkuu kuongezwa je nini kitatokea?

Ikumbukwe mwenyekiti ccm ndio Rais na ndie anapitisha Majina yote ya wateule hivyo sidhan kama litapita Jina mfu lazima ulambe kiatu cha mwenyekiti.

Mkuu anaujuwa mfumo na zipo projects Uwenda kama asipo maliza zitaleta maafa makubwa sana maana watakao kuja watazipiga chini.

Embu tutafakari nini kitatokea na mbaya zaid itakuwaje kama mkakati utakuwa mwanzon mwa term yake ya pili?

Rais amesema hana mpango wakuendelea kuongoza baada ya ten years je wandani wake watamuelewa ama wanapiga kimya walianzishe baada ya kuingia term ya pili?
 
  • Thanks
Reactions: ams

Wamekutuma kuwa endapo ikitokea tutafanya nini.
Waambie kwasasa hawajui ,ila litakapotokea watapata majibu.
Maana wewe ni wale wale, si ulikuja kipindi hapa na vitisho kwa TL???
 
Baada ya uchaguzi 2020 hili suala la magufuli kuongezewa muda litazuka kwa kasi kubwa sana
 
Patachimbika.Full stop.Na wala msithubutu.mxxxxx
 
Samahan kwa wale naweza kuwakwaza. Ila nilikuwa naomba tujiongeze ktk jambo moja ambalo kwa macho ya mbali ningependa tulitafakari.

Mh Rais kwa speed anakimbiza nikama 2020 ccm ikalamba viti vingi vya ubunge kupita wakati wote na jambo la hatari zaid Uwenda wana ccm kwa umoja wao pale bungen baada ya mabadiliko fulan wanaweza kusema ndiooooooo muda wa mkuu kuongezwa je nini kitatokea?

Ikumbukwe mwenyekiti ccm ndio Rais na ndie anapitisha Majina yote ya wateule hivyo sidhan kama litapita Jina mfu lazima ulambe kiatu cha mwenyekiti.

Mkuu anaujuwa mfumo na zipo projects Uwenda kama asipo maliza zitaleta maafa makubwa sana maana watakao kuja watazipiga chini.

Embu tutafakari nini kitatokea na mbaya zaid itakuwaje kama mkakati utakuwa mwanzon mwa term yake ya pili?

Rais amesema hana mpango wakuendelea kuongoza baada ya ten years je wandani wake watamuelewa ama wanapiga kimya walianzishe baada ya kuingia term ya pili?
IMF wako mgu sawa kutupa kibano
 
The killer
 
Back
Top Bottom