Nini kitatokea endapo Magufuli atajiongezea muda wa kukaa madarakani?

Boss TumainiEl Hizo lazima zitakuwa ni TAMAA ZA KIBINADAMU.
Yaani ina maana CCM hawana Mtu mwenye SIFA za kuwa Rais???!!!
Je, WaTanzania tupo zaidi ya 50m kwa sasa, Ina maana hakuna Mtu yoyote mwenye SIFA za kuwa RAIS???!!!
Yaani kuna mambo yanatia AIBU kwa kweli,
Usikute wewe umetumwa kupima Upepo.


 
Halafu nyie nyie baada ya miaka 20 ijayo mtaanza kulalamika kama waliomlalamikia Mugabe.
Ongezeni tu miaka na baada ya hapo mtawaliwe kwa miaka 30 na Rais wa dizani ya "Idd Amini" akili ziwarudie.
Msibadili sheria kwa kumuangalia mtu kwani kuna siku mtapata kiongozi mbaya na mtajuta.
Waliosema "justice is blind" sio wapumbavu.
Yakitokea kama hayo tutaanza kukukaanga wewe na wajinga wenzio.
Walioweka ukomo wa madaraka hawakuwa wapuuzi.
Kwa taarifa yako. Angalia historia.
Hakuna kiongozi aliyejiongezea ukomo wa madaraka aliyeishia vizuri.
 
Wapo watakao mpinga, ambao wataishia mikononi mwenu na roho zao mtaziondoa kwa namna mnayoona inafaa. Magufuli ataendelea kuwa madarakani kama Kagame,m7,nkurunzinza na roho mtakazo zitwaa zitaacha wategemezi.
 
Wataandamana ili yale ya huyu jamaa wa Khartoum yaje na hapa ili iwe kama hivi.
View attachment 1077650
Hivi Huyu jamaa intelijensia yake ilikuwa imelala mpaka kukamatwa kama kuku na midola yote ile? Kwanini asingesepa kabla na kwenda hata Iran huko kwa rafiki zake?Ukiwa dikteta lazima ujiandae mapema ili likitokea la kutokea uondoke mapema!
 
Lazima ataongeza muda,,kisha tutalalamika kwenye mitandao ya kijamii kama miezi mitatu hivi.

Watakua washa andaa snema flani kuubwa sana,kisha wataiachia,

Tunaamishia mada kwenye hiyo snema mpya Kali kuliko zote,
Hapo sasa watatoa tena snema nyungine tena ndogo mbili

Mchezo utakua umekwisha,
 
Rais wetu ameshalifafanua hili Tayari. maelezo yake yalijitosheleza.
 
Takataka
 
SIJUI KITAKACHOTOKEA,UKISHAJUA UNIJUZE BASI.
 
Kwa nchi hii na kizazi chetu hiki chenye hofu, hakuna kitakachotokea zaidi ya malalamiko mtandaoni na mikwara ya maandamano tu; ila kwa nchi hii hii kuna kizazi kitakachokuja kitapinga na kutunisha msuli.
 
Mkuu mm naona mtukufu wetu aendelea mpk atakapokamilika miradi mikubwa aliyoianzisha
Kama ujenzi wa bwawa la umeme Stglers Goji
Ma fly over
Ujenzi wa reli ya kisasa
Ndege
Maviwanda nk akikamilisha basi apo apokee mwingine maana anatoka atakaye kuja ataachana na hivi vipaumbele muhimu kwa maendeleo ya taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…