upo tayari aongezewe muda kwa masilahi mapana ya taifaMkuu mm naona mtukufu wetu aendelea mpk atakapokamilika miradi mikubwa aliyoianzisha
Kama ujenzi wa bwawa la umeme Stglers Goji
Ma fly over
Ujenzi wa reli ya kisasa
Ndege
Maviwanda nk akikamilisha basi apo apokee mwingine maana anatoka atakaye kuja ataachana na hivi vipaumbele muhimu kwa maendeleo ya taifa
soma mada utoe maaoni acha kumshambulia kiongoz bila sababu za msingiMagufuli anajifanya kipofu imani yake inamdanganya kuwa anawezatoboa kwa mawazo yake ya kishamba.hajaona ubabe wa mugabe ulipowafikisha wazimbabwe hadi sasa
Project gani ndugu mtoa mada ambazo atashindwa kukamilisha ndani ya miaka 10 hadi aongezewe muda!!?Samahan kwa wale naweza kuwakwaza. Ila nilikuwa naomba tujiongeze ktk jambo moja ambalo kwa macho ya mbali ningependa tulitafakari.
Mh Rais kwa speed anakimbiza nikama 2020 ccm ikalamba viti vingi vya ubunge kupita wakati wote na jambo la hatari zaid Uwenda wana ccm kwa umoja wao pale bungen baada ya mabadiliko fulan wanaweza kusema ndiooooooo muda wa mkuu kuongezwa je nini kitatokea?
Ikumbukwe mwenyekiti ccm ndio Rais na ndie anapitisha Majina yote ya wateule hivyo sidhan kama litapita Jina mfu lazima ulambe kiatu cha mwenyekiti.
Mkuu anaujuwa mfumo na zipo projects Uwenda kama asipo maliza zitaleta maafa makubwa sana maana watakao kuja watazipiga chini.
Embu tutafakari nini kitatokea na mbaya zaid itakuwaje kama mkakati utakuwa mwanzon mwa term yake ya pili?
Rais amesema hana mpango wakuendelea kuongoza baada ya ten years je wandani wake watamuelewa ama wanapiga kimya walianzishe baada ya kuingia term ya pili?
upopo kweli weyeUchumi Utakua kwa asilimia 0%tutafikia Zimbabwe mpaka Leo Hawana currency wanatumia bond ya Zim dollar mpaka raha.
well vyote unawaza toa maoni yako weyeUmetumwa kama kawaida yako sio raha ya vita usijie nini kitatokea
Tuletee mwili wa Saananewell vyote unawaza toa maoni yako weye
Ni mimi aisee karibu na niko mbioni kuunha juhudi za mzee hela tu sijapewa hata soda tu au akinitwangia simu tu. Ndio raha iloyobakiupopo kweli weye
Samahan kwa wale naweza kuwakwaza. Ila nilikuwa naomba tujiongeze ktk jambo moja ambalo kwa macho ya mbali ningependa tulitafakari.
Mh Rais kwa speed anakimbiza nikama 2020 ccm ikalamba viti vingi vya ubunge kupita wakati wote na jambo la hatari zaid Uwenda wana ccm kwa umoja wao pale bungen baada ya mabadiliko fulan wanaweza kusema ndiooooooo muda wa mkuu kuongezwa je nini kitatokea?
Ikumbukwe mwenyekiti ccm ndio Rais na ndie anapitisha Majina yote ya wateule hivyo sidhan kama litapita Jina mfu lazima ulambe kiatu cha mwenyekiti.
Mkuu anaujuwa mfumo na zipo projects Uwenda kama asipo maliza zitaleta maafa makubwa sana maana watakao kuja watazipiga chini.
Embu tutafakari nini kitatokea na mbaya zaid itakuwaje kama mkakati utakuwa mwanzon mwa term yake ya pili?
Rais amesema hana mpango wakuendelea kuongoza baada ya ten years je wandani wake watamuelewa ama wanapiga kimya walianzishe baada ya kuingia term ya pili?
Samahan kwa wale naweza kuwakwaza. Ila nilikuwa naomba tujiongeze ktk jambo moja ambalo kwa macho ya mbali ningependa tulitafakari.
Mh Rais kwa speed anakimbiza nikama 2020 ccm ikalamba viti vingi vya ubunge kupita wakati wote na jambo la hatari zaid Uwenda wana ccm kwa umoja wao pale bungen baada ya mabadiliko fulan wanaweza kusema ndiooooooo muda wa mkuu kuongezwa je nini kitatokea?
Ikumbukwe mwenyekiti ccm ndio Rais na ndie anapitisha Majina yote ya wateule hivyo sidhan kama litapita Jina mfu lazima ulambe kiatu cha mwenyekiti.
Mkuu anaujuwa mfumo na zipo projects Uwenda kama asipo maliza zitaleta maafa makubwa sana maana watakao kuja watazipiga chini.
Embu tutafakari nini kitatokea na mbaya zaid itakuwaje kama mkakati utakuwa mwanzon mwa term yake ya pili?
Rais amesema hana mpango wakuendelea kuongoza baada ya ten years je wandani wake watamuelewa ama wanapiga kimya walianzishe baada ya kuingia term ya pili?
Wamekutuma kuwa endapo ikitokea tutafanya nini.Samahan kwa wale naweza kuwakwaza. Ila nilikuwa naomba tujiongeze ktk jambo moja ambalo kwa macho ya mbali ningependa tulitafakari.
Mh Rais kwa speed anakimbiza nikama 2020 ccm ikalamba viti vingi vya ubunge kupita wakati wote na jambo la hatari zaid Uwenda wana ccm kwa umoja wao pale bungen baada ya mabadiliko fulan wanaweza kusema ndiooooooo muda wa mkuu kuongezwa je nini kitatokea?
Ikumbukwe mwenyekiti ccm ndio Rais na ndie anapitisha Majina yote ya wateule hivyo sidhan kama litapita Jina mfu lazima ulambe kiatu cha mwenyekiti.
Mkuu anaujuwa mfumo na zipo projects Uwenda kama asipo maliza zitaleta maafa makubwa sana maana watakao kuja watazipiga chini.
Embu tutafakari nini kitatokea na mbaya zaid itakuwaje kama mkakati utakuwa mwanzon mwa term yake ya pili?
Rais amesema hana mpango wakuendelea kuongoza baada ya ten years je wandani wake watamuelewa ama wanapiga kimya walianzishe baada ya kuingia term ya pili?
...ilimradi saver ya JF iwe busy !
IMF wako mgu sawa kutupa kibanoSamahan kwa wale naweza kuwakwaza. Ila nilikuwa naomba tujiongeze ktk jambo moja ambalo kwa macho ya mbali ningependa tulitafakari.
Mh Rais kwa speed anakimbiza nikama 2020 ccm ikalamba viti vingi vya ubunge kupita wakati wote na jambo la hatari zaid Uwenda wana ccm kwa umoja wao pale bungen baada ya mabadiliko fulan wanaweza kusema ndiooooooo muda wa mkuu kuongezwa je nini kitatokea?
Ikumbukwe mwenyekiti ccm ndio Rais na ndie anapitisha Majina yote ya wateule hivyo sidhan kama litapita Jina mfu lazima ulambe kiatu cha mwenyekiti.
Mkuu anaujuwa mfumo na zipo projects Uwenda kama asipo maliza zitaleta maafa makubwa sana maana watakao kuja watazipiga chini.
Embu tutafakari nini kitatokea na mbaya zaid itakuwaje kama mkakati utakuwa mwanzon mwa term yake ya pili?
Rais amesema hana mpango wakuendelea kuongoza baada ya ten years je wandani wake watamuelewa ama wanapiga kimya walianzishe baada ya kuingia term ya pili?
Msumeno una pande 2Wana macho lkn hawaoni, huyu ni wiki moja tu alikuwa ikulu akipepewa viyoyozi leo ananyea debe.
View attachment 1077645
The killerSamahan kwa wale naweza kuwakwaza. Ila nilikuwa naomba tujiongeze ktk jambo moja ambalo kwa macho ya mbali ningependa tulitafakari.
Mh Rais kwa speed anakimbiza nikama 2020 ccm ikalamba viti vingi vya ubunge kupita wakati wote na jambo la hatari zaid Uwenda wana ccm kwa umoja wao pale bungen baada ya mabadiliko fulan wanaweza kusema ndiooooooo muda wa mkuu kuongezwa je nini kitatokea?
Ikumbukwe mwenyekiti ccm ndio Rais na ndie anapitisha Majina yote ya wateule hivyo sidhan kama litapita Jina mfu lazima ulambe kiatu cha mwenyekiti.
Mkuu anaujuwa mfumo na zipo projects Uwenda kama asipo maliza zitaleta maafa makubwa sana maana watakao kuja watazipiga chini.
Embu tutafakari nini kitatokea na mbaya zaid itakuwaje kama mkakati utakuwa mwanzon mwa term yake ya pili?
Rais amesema hana mpango wakuendelea kuongoza baada ya ten years je wandani wake watamuelewa ama wanapiga kimya walianzishe baada ya kuingia term ya pili?
Mtaandamana wapi, ufipa?
Tatizo lako ni lipi haswa?Bado upo kwenye dozi