King Jody
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 1,834
- 3,456
Kwa uchunguzi wangu mdogo nilioufanya nimegundua Wanachama wengi wa Ccm hawataki tundu Lissu ashinde nafasi ya uenyekiti Chadema.
Hapo kabla ya Ndugu Lissu kutangaza nia ya kugombea nafasi ya kuwa Mwenyekiti Chadema, watu wengi hasa wafuasi wa chama tawala walikuwa wakipiga kelele Kuwa mwenyekiti wa sasa ndg. Feeman Mbowe amedumu madarakani kwa muda mrefu, amekigeuza chama kama taasisi au Saccos yake.
Jambo la kushangaza kuna maandiko mengi nimeyaona, kuna watu wanapinga Ishu ya Lissu kugombea nafasi ya kuwa mwenyekiti wa Chadema, wengine wanafika mbali wanasema bora Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti kuliko Tundu lissu kushinda nafasi hiyo.
Swali langu ni je? iwapo Tundu Lissu akishinda nafasi ya Uenyekiti nini kitatokea?