Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
hahahaha akikujibu nitag Mkuu Hawa watu wehu kweli eti kidini hakuna sayari nyingine nje ya Dunia!Kidini gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha akikujibu nitag Mkuu Hawa watu wehu kweli eti kidini hakuna sayari nyingine nje ya Dunia!Kidini gani?
Sawa mkuu ngoja aje kwanza na jibu maana isije kuwa amekurupushwa usingizinihahahaha akikujibu nitag Mkuu Hawa watu wehu kweli eti kidini hakuna sayari nyingine nje ya Dunia!
Huyo aliyekuwa nje ya dunia si alizaliwa duniani?
Sasa ikija amri ya Mungu kwamba viumbe vyote vya duniani vife..
Ni pamoja na hao walio nje ya dunia.
Hakuna atajayebaki hata ujifiche wapi..
Siku hiyo ndiyo mtagundua kwamba hakuna binadamu aliyetokaga duniani bali ni story zinatungwa watu wanaenda mwezini mara jua, yaani hakuna kilichopo zaidi ya dunia.Habari zenu nyote,
Bila shaka wote mmesikia, mmeona juhudi za binadamu katika harakati za kutafuta sayari nyingine tofauti na dunia ambayo ina hali kama dunia yetu, chombo cha Marekani kishafika mars, swali langu kwa wajuzi wa masuala ya dini, siku ya mwisho itakuaje kama binadamu wengine watakua mars? Je Mungu ataangamiza sayari nyingine zaidi ya dunia? maana kwa mujibu wa mafundisho ya biblia, Mungu ataangamiza dunia(tu) na kila kilichomo maana dunia ndio sayari(pekee)iliyomkubali shetani
2 petro 3:10 "siku ya bwana itakuja kama mwizi siku hiyo, mbingu zitatoweka kwa kishindo kikuu, vitu vyake vya asili vitateketezwa kwa moto, nayo dunia itatoweka pamoja na kila kitu kilichomo ndani yake"
Una ushahidi wa uwepo wa Pluto Jupiter au Mars?? Kuweni wapole jamani hakina mtu mpumbavu kama mtanzania aliyesoma sayansihata Mimi nawapuuza sana tu ukiambiwa uleta ushahidi juu ya uwepo wa mbingu na jehanamu utauleta?
Au na wewe mwenzangu umekaririshwa tu et ufanye mema uende peponi haaahaaahaa
Ila hizo hadith zenu zinanifurahishaga sana et kuna siku mtaenda kuenjoy mbinguni duniani sio kwetu hahaaahaaahaa
Wazee tambueni dunia ndo pekee binadamu tinapaswa kuwepo,hapa ndo kwetu we are son of earth there is no earth B
Ambayo mnaamini mtaenda huko siku moja toeni ujinga muione nuru aisee dunia ndo yetu tuitunze tuipende na tuiendeleze kwa faida ya vizazi vijavyo hio mbingu itabaki kua hadith za kujifariji tu!
hahahha Aisee kwa akili hizo Bado una safari ndefu sana!Una ushahidi wa uwepo wa Pluto Jupiter au Mars?? Kuweni wapole jamani hakina mtu mpumbavu kama mtanzania aliyesoma sayansi