Nini kitatokea siku ya mwisho kama binadamu wengine watakua nje ya dunia?

Huyo aliyekuwa nje ya dunia si alizaliwa duniani?

Sasa ikija amri ya Mungu kwamba viumbe vyote vya duniani vife..
Ni pamoja na hao walio nje ya dunia.

Hakuna atajayebaki hata ujifiche wapi..

Turudi kwenye huu msemo "Asiyekuwepo na lake halipo" mkuu

Kwahiyo ambao watakuwa nje ya dunia shauri zao
 
Siku hiyo ndiyo mtagundua kwamba hakuna binadamu aliyetokaga duniani bali ni story zinatungwa watu wanaenda mwezini mara jua, yaani hakuna kilichopo zaidi ya dunia.
 
Una ushahidi wa uwepo wa Pluto Jupiter au Mars?? Kuweni wapole jamani hakina mtu mpumbavu kama mtanzania aliyesoma sayansi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…