Nini lengo la mpasuo kwenye sketi za wadada/wanawake?

Nini lengo la mpasuo kwenye sketi za wadada/wanawake?

Jibu ni jepesi tu

Mbona dela hazina mpasuo
Shera hazina mpasuo
Vitenge havina mpasuo
Khanga havina mpasuo

Mpasuo unakuja mwanamke anapotaka kuvaa nguo ya kubana iwe sheti au gauni ili kumsaidia awe huru kwa kuwa nguo iliyobana haimpi mtu Uhuru wa movement
 
Sasa shida yA kuvaa nguo ya kubana ni nni
 
Back
Top Bottom