Nini lilikufanya mpaka ukasema hutokuja tena kuwa na mahusiano na mtu uliyekutana nae mtandaoni

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
Katika Harakati za Kujamiana na watu mbalimbali kwenye mitandao basi nikapata binti mmoja nikamwelewa sana Ila siku ya appointment picha alizotuma na mwana dada niliyekutana nae ilikuwa ni ardhi na mbingu

🤣Dah filter ipigwe fine wazee

Vipi kwenu, wadau ilikuaje mpaka ukasema hutaki tena mahusiano ya online.
 
kuliko kutumia neno kujamiiana heri ungetumia "kuhusiana!".

Kwangu mimi nilipata chombo haswa hata sikujutia, baada ya mazoea kwa takribani wiki mbili penzini nikaamua nimuombe mchezo!.
tukapanga siku yakwenda kutufuana vizazi, siku ilipofika ndo nilijua nimeopoa kisu badala ya jokeri kama ingekuwa ni mchezo wa karata!.

mtoto pamoja na uzuri wake kumbe anamajini!, si yakampanda ghafla... kile chumba nilikuwa nakiona kikubwa hapo awali lkn yalivyompanda tu ndo nilijua nimeingia kwenye shimo la sungusungu!.
ile nataka kutimua niwahi mlangoni alinikwatua mguu nikaanguka chini!, hapo nipo uchi maana ndo nilikuwa naelekea kumaliza cha kwanza can you imagine aliyapandisha madude yake hata sijamaliza!.
akasimama mkabala namimi hapo nipo chini, kumcheki macho yake yamekuwa mekundu huku anaongea kiarabu mi hata sielewi!.
kiukweli alikuwa hana nia ya kunidhuru isipokuwa mimi ndo nilikuwa sijazoea hiyo hali na majini yake yalikuwa hayataki nikimbie, yalikuwa yanataka kuzungumza namimi man to man!.

Mimi sasa sielewi nikiwa pale chini nikakurupuka tena!, mara hii akanishika kichwa nikampush! ohoo! si yakasala ile naukaribia tu mlango nahangaika kuufungua ili nitokomee nje nikatoe burudani ya kuonyesha uchi!, kabla hata sijaufungua alikuja mzima mzima akanikumbatia kwa nguvu na jini lake hapo likawa linacharanga kiarabu haswa limesala kwelikweli!!.
nikawa najilazimisha kujitoa kwa nguvu ndo akazidi kunibana zaidi na ubovu lilikuwa na nguvu!. likanisokota mpk kwenye kona ya ukuta nikaona leo nafwa!. ikabidi nitulie kidogo jicho hapo limenitoka natamani kupiga kelele nashindwa!.

ikapita kama dk moja hivi kaning'ang'ania tu, ikabidi nilegee nilivyoanza kuona hana madhara tena ndo nalenyewe likatulia mpk likamuondoka!.
alivyorudi kwenye utimamu wake mtoto wa watu akawa ananionea aibu maana anajijua!, akanipa sorry kibao lkn mimi na mood ya tendo ndo ikawa imekata, tukasepa na ndio ukawa mwanzo na mwisho wa kumtafuta niliona isiwe tabu tusije pelekana oman bure!.

Sina hamu tena na wadada wa Facebook, huyo alitosha kunionyesha maana ya face halafu book!.
 
Mkuu acha uoga ungeendelea kutafuna tu šŸ˜†šŸ˜†šŸ˜†jini alitaka amjue mgoni wake na inaonekana alikuona huna madhara
 
Du pole sana mkuu
 
Thibitisha ni majini na si nyege mshindo au kingine tu.
 
ile nataka kutimua niwahi mlangoni alinikwatua mguu nikaanguka chini!, hapo nipo uchi maana ndo nilikuwa naelekea kumaliza cha kwanza can you imagine aliyapandisha madude yake hata sijamaliza!.
duh, hii nitakunywa na chapati moja tu
2024-12-09 185923.jpg
 
Mkuu pole sana.
sema alivyokupiga mtama alikusaidia usiende kuaibika huko nje ukiwa u-mtupu.
šŸ˜€šŸ˜€.
 
😃😃😃We jamaa hivi ungefanikiwa kutoka pale ungekimbia uchi kwelišŸ˜†šŸ˜†
nilishazoea mbona kwenye janga huwa hakunaga uchi huwa kuna kujiokoa tu!

Sikusema zilikuwa nyege mshindo, soma kwa ufahamu.

Thibitisha yalikuwa majini si nyege mshindo au kitu kingine.

Unajua kusoma kwa ufahamu?
siwezi kukuthibitishia mimi! nenda kayatafute nawewe yakukabe!
 
Ukitaka kula wa Facebook tafuta wale wenye marafiki wachache.
Kweli kabisa hii mbinu imenisaidia sana. Nikiona profile ina marafiki wasiozidi 1K na haina post nyingi nacheki profile chap nazma dm nikiona dm hajjibiwi maana ukimtext bila kuwa rafiki yako inakuwa ni kama message request kwahyo wengi wao hawazifunguagi.

Ninachofanya ni kum friend request halafu akisha accept chap nazama dm baada ya hapo nam unfriend tunaendelea sasa nikishapata namba tu na kuchati Facebook kunaishia hapo.
 
kuliko kutumia neno kujamiiana heri ungetumia "kuhusiana!".

Kwangu mimi nilipata chombo haswa hata sikujutia, baada ya mazoea kwa takribani wiki mbili penzini nikaamua nimuombe mchezo!.
tukapanga siku yakwenda kutufuana vizazi, siku ilipofika ndo nilijua nimeopoa kisu badala ya jokeri kama ingekuwa ni mchezo wa karata!.

mtoto pamoja na uzuri wake kumbe anamajini!, si yakampanda ghafla... kile chumba nilikuwa nakiona kikubwa hapo awali lkn yalivyompanda tu ndo nilijua nimeingia kwenye shimo la sungusungu!.
ile nataka kutimua niwahi mlangoni alinikwatua mguu nikaanguka chini!, hapo nipo uchi maana ndo nilikuwa naelekea kumaliza cha kwanza can you imagine aliyapandisha madude yake hata sijamaliza!.
akasimama mkabala namimi hapo nipo chini, kumcheki macho yake yamekuwa mekundu huku anaongea kiarabu mi hata sielewi!.
kiukweli alikuwa hana nia ya kunidhuru isipokuwa mimi ndo nilikuwa sijazoea hiyo hali na majini yake yalikuwa hayataki nikimbie, yalikuwa yanataka kuzungumza namimi man to man!.

Mimi sasa sielewi nikiwa pale chini nikakurupuka tena!, mara hii akanishika kichwa nikampush! ohoo! si yakasala ile naukaribia tu mlango nahangaika kuufungua ili nitokomee nje nikatoe burudani ya kuonyesha uchi!, kabla hata sijaufungua alikuja mzima mzima akanikumbatia kwa nguvu na jini lake hapo likawa linacharanga kiarabu haswa limesala kwelikweli!!.
nikawa najilazimisha kujitoa kwa nguvu ndo akazidi kunibana zaidi na ubovu lilikuwa na nguvu!. likanisokota mpk kwenye kona ya ukuta nikaona leo nafwa!. ikabidi nitulie kidogo jicho hapo limenitoka natamani kupiga kelele nashindwa!.

ikapita kama dk moja hivi kaning'ang'ania tu, ikabidi nilegee nilivyoanza kuona hana madhara tena ndo nalenyewe likatulia mpk likamuondoka!.
alivyorudi kwenye utimamu wake mtoto wa watu akawa ananionea aibu maana anajijua!, akanipa sorry kibao lkn mimi na mood ya tendo ndo ikawa imekata, tukasepa na ndio ukawa mwanzo na mwisho wa kumtafuta niliona isiwe tabu tusije pelekana oman bure!.

Sina hamu tena na wadada wa Facebook, huyo alitosha kunionyesha maana ya face halafu book!.
nimecheka kama mjinga. wee jamaa ujue ni comedian
 
Back
Top Bottom