Nini maana halisi ya neno tiGO? Manake linatuchanganya sana wadau....

Nini maana halisi ya neno tiGO? Manake linatuchanganya sana wadau....

watu wazima mnaongea upuuzi mtupu, Shame on u especialy baba mwenye familia kama the Boss
 
kuna mambo ya kuongelea na mengine tupa kapuni usionyeshe ujinga wako mbele za watu tiGO! tiGO! shame on u
 
tiGO maana yake ni jina la kampuni ya mawasiliano.
 
Uporoto we ni inspector au vp??? Mana hata m cku ya kwanza kuchangia ulinambia hvohvo... Toka 200n nmechangia once

hahhaaaaaaaaa kazi yake kuangalia tumejoin lini na kupost how many times hahaaaaaa
 
lakini Boss kwa kweli hali ni mbaya mimi kuna binti alinitangaza eti mi ni mshamba nakula samaki upande wa juu tu lol!
Sasa kwanini usimle na upande wa chini yakheeee unajua utaniuzzzzzziiiiii. LoL
 
Back
Top Bottom