mnepha
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 300
- 280
KUNA KITU ULITAKA KUJUA LAKINI UMEOGOPA KUJUA. MWANZISHA MAADA KACOPY ALIVYOMEZESHWA MADRASA, LAKINI AKATUELEZA ANACHOKIAMINI.Talizo Allah lilitumika na wapagani wa macca kabla ya uislam wakimwita ndio mungu wao.
Baada ya Muislam wa kwanza Muhammad kuuanzisha uisam nae akaendelea kulitumia jina lilelile lililotumika na wapagani kumuita mungu wao!
NITAELEZA MAANA HALISI NA HISTORIA YA NENO, YAHWEH, ALLAT NA ALLAH KIMAPANA NA KIMAPOKEO YA WAJINGA WA MACCA