Nini maana ya Allah? Je, huyo Allah ni nani?

Talizo Allah lilitumika na wapagani wa macca kabla ya uislam wakimwita ndio mungu wao.

Baada ya Muislam wa kwanza Muhammad kuuanzisha uisam nae akaendelea kulitumia jina lilelile lililotumika na wapagani kumuita mungu wao!
KUNA KITU ULITAKA KUJUA LAKINI UMEOGOPA KUJUA. MWANZISHA MAADA KACOPY ALIVYOMEZESHWA MADRASA, LAKINI AKATUELEZA ANACHOKIAMINI.
NITAELEZA MAANA HALISI NA HISTORIA YA NENO, YAHWEH, ALLAT NA ALLAH KIMAPANA NA KIMAPOKEO YA WAJINGA WA MACCA
 
Kujifanya kwako unajua kila kitu na kuamini unachoamini ni sahihi kwasababu tu moyo wako unaridhika pasi kuangalia na kujua upande wa pili basi ndiyo unazidi kua mjinga zaidi ya hao wajinga wa makka
Haya elezea na utupe ushahidi wa ukweli wa hayo maneno kama ni kweli ili nasi tuweze kuamini kama ulivyoamini wewe na kuweka 100% za bila shaka ndani yake
 
KUNA KITU ULITAKA KUJUA LAKINI UMEOGOPA KUJUA. MWANZISHA MAADA KACOPY ALIVYOMEZESHWA MADRASA, LAKINI AKATUELEZA ANACHOKIAMINI.
NITAELEZA MAANA HALISI NA HISTORIA YA NENO, YAHWEH, ALLAT NA ALLAH KIMAPANA NA KIMAPOKEO YA WAJINGA WA MACCA
ulipotea sana mkuu.
ningekua Nina muda ningeandika nami kuhusu allah
 
Natumai wote ni wazima humu jamvini

Baada ya kusoma baadhi nyuzi zinazojumuisha masuala ya kiimani nimeona baadhi ya maneno yakikebehi hili jina/neno (ALLAH)
Kwa hiyo baada ya kuona hili ni tatizo nimeonelea bora nitoe ufafanuzi kidogo ambao unaweza kutupa faida sote

Kwanza kabisa kwenye upande wa fasihi na lugha ALLAH haimaanishi mungu kama kwa kiingereza tunavyosema GOD na kiarabu ILAH,, je kwanini ALLAH maana yake sio mungu na waislamu wanasema mungu? Maswali kama hayo watu tunajiuliza vichwani mwetu

Majibu ya maswali yetu ni haya tunavyosema MUNGU ni inategemea na imani ya mtu,, mwengine atasema sanamu ndiyo mungu wake,, wengine mizimu na wengine mwezi na wengine jua,, ila unavyosema ALLAH unazungumzia mungu mmoja anayepaswa kuabudiwa na kuombwa hakika yeye ndiye mkuu na muweza wa yote.

Wengine watauliza kwanini wakristo hawasemi kama ALLAH ndiye mungu wao ??
Hii ni kwasababu ya lugha husika katika lugha ya kiingereza hakuna tafsiri au neno linalo simama kwa (mungu mmoja anayepaswa kuabudiwa muweza wa yote) ila kunatafsiri ya MUNGU wa kawaida ambaye kila mtu anaweza mfanya kwa mtazamo wake

Na kuhakikisha hilo ukija kuchukua biblia ya st james iliyo katika lugha ya kiarabu utakuta neno hilo ALLAH lipo katika biblia

Dhumuni la huu uzi lilikua ni kutoa ufafanuzi wa hili neno kwa kifupi kama kuna sehemu nimekosea wajuzi zaidi mtarekebisha maana tupo humu kujifunza

Nawasilisha
Asante sana. Sasa nimepata sababu nyingine ya kuamini Aĺlah siyo YHWH
 
Maneno ya Matakatifu ya Mungu yameonya kuchukuwa tahadhari na ushawishi wa wasio muamini Mungu wa Utatu mtakatifu.
Soma hapo 2 Wakorinto 6:14-18. Giza na Mwanga havichangamani kama ilivyo kwa Kristo na shetani. Hivyo maswala ya kiroho muongozo uko wazi jinsi ya kumpokea Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako.

Nabii Issa SA wa kuran tukufu siye Bwana Yesu Kristo wa Biblia. Hii ni dhambi ya uongo iliyosemwa na kuachwa ikazoeleka lakini sasa inabidi watu kutubu dhambi hii.

Yesu ni Mungu na nabii Issa SA ni kiumbe tu/mwanadamu.
 
Natumai wote ni wazima humu jamvini

Baada ya kusoma baadhi nyuzi zinazojumuisha masuala ya kiimani nimeona baadhi ya maneno yakikebehi hili jina/neno (ALLAH)
Kwa hiyo baada ya kuona hili ni tatizo nimeonelea bora nitoe ufafanuzi kidogo ambao unaweza kutupa faida sote

Kwanza kabisa kwenye upande wa fasihi na lugha ALLAH haimaanishi mungu kama kwa kiingereza tunavyosema GOD na kiarabu ILAH,, je kwanini ALLAH maana yake sio mungu na waislamu wanasema mungu? Maswali kama hayo watu tunajiuliza vichwani mwetu

Majibu ya maswali yetu ni haya tunavyosema MUNGU ni inategemea na imani ya mtu,, mwengine atasema sanamu ndiyo mungu wake,, wengine mizimu na wengine mwezi na wengine jua,, ila unavyosema ALLAH unazungumzia mungu mmoja anayepaswa kuabudiwa na kuombwa hakika yeye ndiye mkuu na muweza wa yote.

Wengine watauliza kwanini wakristo hawasemi kama ALLAH ndiye mungu wao ??
Hii ni kwasababu ya lugha husika katika lugha ya kiingereza hakuna tafsiri au neno linalo simama kwa (mungu mmoja anayepaswa kuabudiwa muweza wa yote) ila kunatafsiri ya MUNGU wa kawaida ambaye kila mtu anaweza mfanya kwa mtazamo wake

Na kuhakikisha hilo ukija kuchukua biblia ya st james iliyo katika lugha ya kiarabu utakuta neno hilo ALLAH lipo katika biblia

Dhumuni la huu uzi lilikua ni kutoa ufafanuzi wa hili neno kwa kifupi kama kuna sehemu nimekosea wajuzi zaidi mtarekebisha maana tupo humu kujifunza

Nawasilisha
Mkuu wacha nikufundishe kidogo, neno "allah". haimaanishi mungu yule sisi wakiristo tunaabudu LA LA KABISA, nataka kukuambia hii neno na huyu mungu anaitwa allah na wafuasi wa dini ya kiislamu lilitoka wapi, kula jangwani la zamani huko saudi arabia watu walikuwa wanaabudu miungu mingi, wakati mohhamed amekuja na kuleta dini ya islam, mohhamed akaona ni vyemma achukue tu jina moja kati ya hizi miungu, na akachukua mungu anaitwa allah,ukitaka mengi kuhusu hio jina enda kwa youtube na uweke APOSTATE PROPHET, na hapo utapata ukweli mtupu, barikiwa na YESHUA HAMASSIAH
 
Kua makini ushabiki wa kidini na utumwa wa akili yako vinakuangamiza mkuu zinduka
 
mimi sina dini ila ni KINGDOM OF GOD CITIZEN, do u need more explaination sir, i am willing to do so, and after all pls try to answer my comments using TRUTHS and FACTS, and not creations of your limited mindset sir.
 
ulipotea sana mkuu.
ningekua Nina muda ningeandika nami kuhusu allah
Fanya hima japo ujinyime muda wako ili kutufungua kimaarifa & uelewa ktk hili kwa kuweka uzi uhusuo jambo hili mkuu
 
Natumai wote ni wazima humu jamvini

Baada ya kusoma baadhi nyuzi zinazojumuisha masuala ya kiimani nimeona baadhi ya maneno yakikebehi hili jina/neno (ALLAH)
Kwa hiyo baada ya kuona hili ni tatizo nimeonelea bora nitoe ufafanuzi kidogo ambao unaweza kutupa faida sote

Kwanza kabisa kwenye upande wa fasihi na lugha ALLAH haimaanishi mungu kama kwa kiingereza tunavyosema GOD na kiarabu ILAH,, je kwanini ALLAH maana yake sio mungu na waislamu wanasema mungu? Maswali kama hayo watu tunajiuliza vichwani mwetu

Majibu ya maswali yetu ni haya tunavyosema MUNGU ni inategemea na imani ya mtu,, mwengine atasema sanamu ndiyo mungu wake,, wengine mizimu na wengine mwezi na wengine jua,, ila unavyosema ALLAH unazungumzia mungu mmoja anayepaswa kuabudiwa na kuombwa hakika yeye ndiye mkuu na muweza wa yote.

Wengine watauliza kwanini wakristo hawasemi kama ALLAH ndiye mungu wao ??
Hii ni kwasababu ya lugha husika katika lugha ya kiingereza hakuna tafsiri au neno linalo simama kwa (mungu mmoja anayepaswa kuabudiwa muweza wa yote) ila kunatafsiri ya MUNGU wa kawaida ambaye kila mtu anaweza mfanya kwa mtazamo wake

Na kuhakikisha hilo ukija kuchukua biblia ya st james iliyo katika lugha ya kiarabu utakuta neno hilo ALLAH lipo katika biblia

Dhumuni la huu uzi lilikua ni kutoa ufafanuzi wa hili neno kwa kifupi kama kuna sehemu nimekosea wajuzi zaidi mtarekebisha maana tupo humu kujifunza

Nawasilisha
Ukisoma vitabu vya kiislamu vinavyoelezea itikadi na Tawheed (Yaani upweke wa Allah). Kuna kanuni inasema " Majina ya Allah ni tawkifiyyah (Yaani hayabadiliki,hayanyumbuliki kimaana,yaani tunamuita kwa majina ambayo yeye mwenyewe Allah amejiita kwayo au kwa yale majina ambayo aliitwa na mtume wake). Kwa maana ni kuwa hata hao waislamu wanaomuita Allah kwa jina la Mungu,wanakosea na wanatakiwa kuelimishwa.

Kwani majina hayo wanayomnasibisha kwayo hayakidhi haja ya kumuelezea.
 
Mkuu wacha nikufundishe kidogo, neno "allah". haimaanishi mungu yule sisi wakiristo tunaabudu LA LA KABISA, nataka kukuambia hii neno na huyu mungu anaitwa allah na wafuasi wa dini ya kiislamu lilitoka wapi, kula jangwani la zamani huko saudi arabia watu walikuwa wanaabudu miungu mingi, wakati mohhamed amekuja na kuleta dini ya islam, mohhamed akaona ni vyemma achukue tu jina moja kati ya hizi miungu, na akachukua mungu anaitwa allah,ukitaka mengi kuhusu hio jina enda kwa youtube na uweke APOSTATE PROPHET, na hapo utapata ukweli mtupu, barikiwa na YESHUA HAMASSIAH
Bro wewe ni muongo !
 
Talizo Allah lilitumika na wapagani wa macca kabla ya uislam wakimwita ndio mungu wao.

Baada ya Muislam wa kwanza Muhammad kuuanzisha uisam nae akaendelea kulitumia jina lilelile lililotumika na wapagani kumuita mungu wao!
Hapa bro naomba unipe ushahidi,ili nifaidike.
 
Shida ya ndugu zangu wakristo hawana asili ya iman yao kilichopo leo ni tafsir ya wagiriki na baadae kanisa la roma na bado wananakuja kifua mbele kutukana watu...mnajua kabisa bible ni mkusanyiko wa vitabu vilivyopatikana miaka 300 baada ya yesu kuondoka na viliandikwa kwa lugha ya kilatin na kigirik bible zote unazoziona leo zimetafsriwa kutoka hapo lugha ambayo hata yesu alikuwa haitumii so majina yaliyopo humo hata sio ya asili yake hata jina la Yesu hili Jesus sio jina lake na hajawahi hata kulisikia ni jina la kilatin na ushahid upo wazi leo hayo majina unayakuta maxico na hispania na kushuka latin america yote had sauth amerika na sio mashariki ya kati hivyo vyote hamjawahi kuhoji mnaahangaika na jina la Allah na kwa vile waliowaletea mitaala walijua nyie ni watu wa kupokea tu hata hamfanyi utafiti..

Nawapa darasa kidogo lugha aliyokuwa anazungumza yesu aramec na kiebrania na lugha ya kiarabu ni lugha ndugu maneno mengi yanafanana hata majina yao yanapisha kidogo matamshi mfano
Kiarabu Yusufu
Kiebrania Yosef
Kiarabu yahya
Kiebrania yohan
Kiarabu Yakub
Kiebrania yakob
Kiarabu Isa
Kieabeania iso (jina la mlikuja kumuita Jesus) jina lake lingine aliitwa yoshua.!

Hivyo hivyo Mungu waarabu anaitwa Allah kiibrania had leo kaangalie anaitwa Ellah na sehem ndogo ya bible ambayo yesu aliongoea kibrania aliuita Mungu akiwa msalaban kwa kusema jina hilo la Ellah ila bible ya kingereza wameabdika Eli ya kiswahili mmendika Elloi...lakin aliita ellah elleh Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha hajaita God wala hajaita yehova mbona umeniacha alisema Ellah sasa kama Allah ni jija la shetan basi Yesu alimuita shetan amsaidie msalabani....

Fanyen sana tafiti ndugu zangu na msome history msitosheke na mliyolishwa na kuja kutukana watu huku huenda wewe ndio umepotea soma kwa utulivu kwa kujifunza utaona mengi...ukristo umekuwa twisted sana kutoka kwenye asili yake wazungu wameweka majina yao kutoka.kwemye asili yusuf wakamuita joseph,yakob wakamuita Jacob au james yohan wakamuita John, cephas wakamuita Petro na iso Yoshua wakamuita Jesus na nyie waswahili mkamuita Yesu sijui mlilitoa wapi africa magharibi wanamuita Jesu..! Jipangeni kwanza na makando kando yenu ndio mje kukashifu watu humu.!
 
Hapa bro naomba unipe ushahidi,ili nifaidike.
Baba yake Mohammed alikuwa anaitwa nani! Jina lake linamaanisha nini? na alikuwa anaabudu dini gani?

ukijibu maswali hayo, umeishapata ushahidi!
 
okay teach us the truth then, you just cant call me a LIAR without giving reasons as to why i am a LIAR, i am waiting for your answer pls sir
Bro usipende mteremko,kuna wakati huwa tunatoa maana ya jambo kwa mifano.

Mfano nikitaka kutoa maana ya mjinga,ninweza kukuonyesha mtu amefanya tendo la kijinga kuoitia yeye ukajua nini maana ya mjinga.

Hapa namaanisha ni kuwa uwe unahakiki habari kabla ya kuiandika au kuisambaza au kuzungumza. Sasa fatilia kuhusu uliyoyasema. Laiti ukifatilia ukweli utaujua.

Ukweli wazi na uongo hali kadhalika. Sasa tafuta ukweli kwa sababu wewe ni muongo na nina rudia tena wewe ni muongo.

Sababu ziko nyingi sana za kuonyesha wewe ni muongo,sasa komaa uutafute ukweli. Muache kuikosea adabu elimu na watu wake.
 
Back
Top Bottom