Nini maana ya Allah? Je, huyo Allah ni nani?

Bro umenipa faida kubwa sana.
 
Baba yake Mohammed alikuwa anaitwa nani! Jina lake linamaanisha nini? na alikuwa anaabudu dini gani?

ukijibu maswali hayo, umeishapata ushahidi!
Swali rahisi sana na sikujibu mpaka ujibu swali nililokuuliza mzee.
 
Watu wanadhani waarabu kabla ya kuja Mtume hawakuwa wanajua chochote kuhusu Mungu kitu ambacho hakikuwa kwa waarabu ni kuwa mtume alikuwa bado hajatoka kutoka kwao ila waarabu na wahayud wameish kwa miaka na wamefanya biashara pamoja ila kaabaa pale imejengwa na Ibrahim na mwanae ismail na na pia ismail alikuwa ni mtume ambae alihuburi dini Ya Mungu mmoja ika yeye aihuburi kwa eneo husika na kwa kipindi alichopangiwa wapo waliokuwa waarabu wakristo na wapo waliokuwa wana knowledge ya dini somen history nchi za iran,uturuki,syria,misri,tunisia had morocco na palestina zilikuwa nchi za kikristo japo pia ibada ya masanamu ilikuwa imeshamiri sana,so wao kufahamu jina la Mungu au uwepo wa Mugu sio kitu kigen ungepaswa kuangaa hilo labda africa ssio sehem ambapo asilimia kubwa ya manabii wameteremka maaeneo hayo kwanza uislam haukuja kubadili majina watu wala ya vitu walikuwa sio waislam kabla ya usilam waliendelea na mjina yao walipokuwa waislam shida tunadhan shida ya waswahili wengi tunadhan kuna majina ya kiislam na ya kikristo nasema hili mara nyingi kuna majina ya kizungu na kiarabu na sijui why imekuwa big deal kwenu kuhusu jina la Mungu na wakati anaitwa majina mengi kikubwa yawe mazuri...nasisitiza someni..sio waarabu wote waliabudu masanamu

Na hata wayahud walikuwa wakiwaambia waarabu tumeambiwa kwemye vitabu vyet mtume wa mwisho atatoka huku wakati wanaenda kufanya biashara macca na mtume alipoanza kuwalingania na kujitangaza yeye ni mtume waarabu waliend kwa wayahud kuwauliza kuna mtu anasema yeyr ni mtume tutamjuaje wakaawaambie nenden mkamuulize maswal matatu akijibu hayo huyo ni mtume, wakaamuuliza na akawajibu..! Itafuten asili kwanza.!

Nawaheshim wote...tujifunze tusikashifiane
 
[emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
[emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
[emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 859591
Wapo wachaga wanaitwa MBORO lakin kwa kiswahili ni uume lakin kichaga haimaanishi hivyo na pia kwa kichaga KINU maana yake ni UKE so jambo kuwa na maana nyingine kwa lugha nyungine halina maana ndio linapoteza maana kwa lugha yenu..nasisitiza sana kama hulipendi jina Allah bas Mungu ana majina mengi 99 yote yanabeba utukufu wake ambayo unaweza kuyasema kwa lugha yoyote.!..usichume dhambi kwa lazima.!
 
Asante mkuu, ila hili suala lina ukubwa na mapana yake hivyo km atatokea mtu mwenye uelewa wa kutosha kuweza kulielezea ktk kila pande & nyanja bhac itakuwa faida kubwa kwa wote
Neno Allah ni neno la kiarabu lenye muunganiko wa maneno mawili

"Al" na "illah" au "ellah"

"Al" Kwa Kiswahili tunaitafsiri kwa "ni" au "yeye" kwa lugha ya kiingerza wanatumia "the". Na illah(ellah) kwa lugha ya Kiswahili ni Muungu/Uungu, kwa lugha ya kingereza wanatumia God/Deity. Yakiunganishwa haya maneno inakuwa hivi;

Al+ellah( illah) kwa taratibu na misingi ya lugha ya kiarabu muunganiko huo unasomeka " Allah" Tukirejelea mnyambulisho wetu wa juu kuhusu maana ya hayo maneno inakuwa

Al(yeye/ni/the) + ellah(illah)=(Muungu/ Uungu/ God/Deity)= Muunganiko huu kwa taratibu na misingi ya lugha ya Kiarabu neno litatamkwa "Allah"

Jibu litakuwa ni "ni Mungu", yeye Mungu, au Mwenye ezi Mungu( asili ya illah kwa kiswahili ni Mwenye Uungu imekuja hivi kutokana na neno "Al"). Kwa kingereza itakuwa ni "The God" au "The Deity"

Kwa hiyo, maana ya neno Allah ni " yeye ni Mungu, ni Mungu, ni mwenye Uungu ni Mwenyezi Mungu.
 
[emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 859591
Ashakum si matusi neno "****" kwa ki Japan ni jina ila tafsiri yake ni Dubu, mnyama Dubu. Kwa kiswahili maana yake ni tata

"Shahawa" kwa kiswahili unafahamu maana yake lakini neno hilihilo kwa kiarabu ni matamanio. Kama mtu atatumia msamiati huo wa Kiarabu kwenye kiswahili utakua hivi;

Yule jamaa ana shahawa sana. Ila yeye kamanisha matamanio.
 
KUNA KITU ULITAKA KUJUA LAKINI UMEOGOPA KUJUA. MWANZISHA MAADA KACOPY ALIVYOMEZESHWA MADRASA, LAKINI AKATUELEZA ANACHOKIAMINI.
NITAELEZA MAANA HALISI NA HISTORIA YA NENO, YAHWEH, ALLAT NA ALLAH KIMAPANA NA KIMAPOKEO YA WAJINGA WA MACCA
Tunakusubiri Mheshimiwa, naomba usisahau kuni' tag.
 
kwanini source of physics na sio source of biology maana structure ya mnyama (including binadamu) ni biology
 
jibu swali acha uzwazwa
Kaka hii ni elimu bro,kama hujui adabu za elimu,kaa kimya. Sijibu swali sio kwamba sina jibu,bali sijibu swali kwa sababu sitakiwi kujibu swali na sababu nyinginezo.
 
Kaka hii ni elimu bro,kama hujui adabu za elimu,kaa kimya. Sijibu swali sio kwamba sina jibu,bali sijibu swali kwa sababu sitakiwi kujibu swali na sababu nyinginezo.
mbwembwe nyingi unakwepa swali
 
Kweli mkuu hata wayahudi walikuwa na miungu wengi sana wanaabudu kule Jerusalem...... Wakachagua mungu mmoja wakamuita Yesu kristo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…