Bro umenipa faida kubwa sana.Shida ya ndugu zangu wakristo hawana asili ya iman yao kilichopo leo ni tafsir ya wagiriki na baadae kanisa la roma na bado wananakuja kifua mbele kutukana watu...mnajua kabisa bible ni mkusanyiko wa vitabu vilivyopatikana miaka 300 baada ya yesu kuondoka na viliandikwa kwa lugha ya kilatin na kigirik bible zote unazoziona leo zimetafsriwa kutoka hapo lugha ambayo hata yesu alikuwa haitumii so majina yaliyopo humo hata sio ya asili yake hata jina la Yesu hili Jesus sio jina lake na hajawahi hata kulisikia ni jina la kilatin na ushahid upo wazi leo hayo majina unayakuta maxico na hispania na kushuka latin america yote had sauth amerika na sio mashariki ya kati hivyo vyote hamjawahi kuhoji mnaahangaika na jina la Allah na kwa vile waliowaletea mitaala walijua nyie ni watu wa kupokea tu hata hamfanyi utafiti..
Nawapa darasa kidogo lugha aliyokuwa anazungumza yesu aramec na kiebrania na lugha ya kiarabu ni lugha ndugu maneno mengi yanafanana hata majina yao yanapisha kidogo matamshi mfano
Kiarabu Yusufu
Kiebrania Yosef
Kiarabu yahya
Kiebrania yohan
Kiarabu Yakub
Kiebrania yakob
Kiarabu Isa
Kieabeania iso (jina la mlikuja kumuita Jesus) jina lake lingine aliitwa yoshua.!
Hivyo hivyo Mungu waarabu anaitwa Allah kiibrania had leo kaangalie anaitwa Ellah na sehem ndogo ya bible ambayo yesu aliongoea kibrania aliuita Mungu akiwa msalaban kwa kusema jina hilo la Ellah ila bible ya kingereza wameabdika Eli ya kiswahili mmendika Elloi...lakin aliita ellah elleh Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha hajaita God wala hajaita yehova mbona umeniacha alisema Ellah sasa kama Allah ni jija la shetan basi Yesu alimuita shetan amsaidie msalabani....
Fanyen sana tafiti ndugu zangu na msome history msitosheke na mliyolishwa na kuja kutukana watu huku huenda wewe ndio umepotea soma kwa utulivu kwa kujifunza utaona mengi...ukristo umekuwa twisted sana kutoka kwenye asili yake wazungu wameweka majina yao kutoka.kwemye asili yusuf wakamuita joseph,yakob wakamuita Jacob au james yohan wakamuita John, cephas wakamuita Petro na iso Yoshua wakamuita Jesus na nyie waswahili mkamuita Yesu sijui mlilitoa wapi africa magharibi wanamuita Jesu..! Jipangeni kwanza na makando kando yenu ndio mje kukashifu watu humu.!