Nini maana ya Banana Republic? Je, Urusi ni Banana Republic?

Zifuatazo ni nchi ambazo kimsimgi zinajulikana kama banana republic kwa tasfiri niliyoisema kwenye post #2

Nchi hizo ni Nicaragua, Botswana, Guatemala, Honduras, Nigeria, Zambia, Banglasesh, Panama na Costa Rica.
 
Banana Republic inatokea au ni pale serikali ya nchi fulani inaendesha nchi katika uchumi wa kibepari, nchi inaendeshwa kama biashara ya mtu/ watu binafsi na kwa faida pekee kwa tabaka tawala la nchi hiyo.
Mfano mzuri, hapo Kampala Uganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…