Nini maana ya Flagship phone?

Note 9 inamika mingapi mpaka sasa.je thamani yake kwa sasa na umetumia mda mgani wakati hiyo oppo a93 imetoka 2020.sio mbaya .
Labda ungebadilishana na kitu kilichopo nyuma zaidi
 
mbona mimi nina mpango wa kununua OPPO a93 na dizaini kama nime ielewa sana
Ni nzur kama cyo mpenz wa mambo meng kuna sometime nikipigisha game kwa muda mrefu huwa kma ina chemka sijui n zote zipo hvyo au ni mm tu then camera yake hata sijailewa kwa upande wangu cjui detail zake za uongo maana kama vile zinaukungu flan hv
 
kwani yeye alinunua mda gani na je alichukua dukani au kwa mtu
 
Ni nzur kama cyo mpenz wa mambo meng kuna sometime nikipigisha game kwa muda mrefu huwa kma ina chemka sijui n zote zipo hvyo au ni mm tu then camera yake hata sijailewa kwa upande wangu cjui detail zake za uongo maana kama vile zinaukungu flan hv
kwangu mimi kuna mtu alikkuwa ana ni hadithia kuwa oppo ni simu nzuri sana kwenye swala la camera huwa iko poa sana. sasa sijajua hiyo ya kwako
 
Kama walivyosema flagship huja na features kali sana katika mwaka au kipindi husika.

Angalizo kuu hapo ni mwaka, kwa maana unaweza ukawa na flagship ya zamani ambayo tayari hata simu ambazo sio flagship zimeipita kwa features kali.

Kwangu naona jambo la msingi ni kuangalia mwaka wa toleo la simu, pamoja na features nyingine kama uwezo wa battery, ukubwa wa RAM, Nguvu ya chip ya simu, aina ya kioo, nguvu na uwezo wa camera na mengineyo
 
Hatari Sana Haya Mambo Ya Technology
Samsung Galaxy S6 SM-G920F European Model
Kwasasa Hivi Bado Ipo Kwenye Hayo Mnayoyasema?
 
Hatari Sana Haya Mambo Ya Technology
Samsung Galaxy S6 SM-G920F European Model
Kwasasa Hivi Bado Ipo Kwenye Hayo Mnayoyasema?
Hii ni flagship ndio..ila ya miaka 6 iliyopita
 
Sasa bouy mi 9pro ni flagship ya xiaomi ? Ya mwaka gani .So far ni simu nzur sana ila sio flagship
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…