chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Habari za muda huu mwez mmoja uliopita nilikuwa na samsung note 9, kuna mtu alikuja na oppo A93 kwa kuwa nilipenda ile simu nilibadilishana naye, nilipo kuja mwambia rafiki yangu mmoja alinicheka sanaa aliniambia yaani umekubali kubadilishana flagship phone na simu za kawaida bila kuongezewa hela yeyote, ile nikamuuliza flagship ndio nini yaya akaniambia hana maelezo sanaa kuhusu flagship ila tu nijue note na S series ni flagship na simu nzuri zaidi.
Sasa naombeni mnisaidie hapa maana ya flagship na sifa gani simu inatakiwa iwe nazo ili iitwe flagship? Je naweza jua Series nyingine za simu ambazo ni flagship? Mfano S na NOTE kwa samsung? Asanteni sana na kwa bajeti ya laki 8 hadi 9 simu gani nzuri naweza pata (mimi kama mimi nilikuwa na plan na iphone xs max ingawa nimeambiwa ni ndogo sana kuipata kwa hii bei)
Chief-Mkwawa T14 Armata
Note 9 inamika mingapi mpaka sasa.je thamani yake kwa sasa na umetumia mda mgani wakati hiyo oppo a93 imetoka 2020.sio mbaya .
Labda ungebadilishana na kitu kilichopo nyuma zaidi