Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Watakuambia zabibu ni zao la kimkakati, a.k.a black diamond 😂😂Na Kuna watu wao na PDF hakuna utofauti, utamkuta anakupa details as if yeye ndio mhusika wa kilimo fulani.
Mara ooh zabibu pale Dodoma zinalipa sana.
Hua najiuliza kwan wao hawataki hzo hela.
Kitunguu ni chakiboya sana, juu kinaweza kikawa kimestawi ila chini ni vimizizi tu. Jamaa yangu aliviotesha eka 2 juu vimestawi ila sasa siku anakuja kuvuna anang'oa vimizizi tu akasema wachawi wameloga vitunguu vyake havijazaa 😂😂Nilisoma kilimo cha kitunguu na nikaanza kwa kusia mbegu, nashukuru hazikuota.
Ahahahhahah daaah et wachawi...Kitunguu ni chakiboya sana, juu kinaweza kikawa kimestawi ila chini ni vimizizi tu. Jamaa yangu aliviotesha eka 2 juu vimestawi ila sasa siku anakuja kuvuna anang'oa vimizizi tu akasema wachawi wameloga vitunguu vyake havijazaa 😂😂
Sahivi humshauri kabisa kulima
Kuna mazao bora ukawa na hela usubiri wakianza kuvuna ndio unajitokeza unanunua kitu kinaonekanaAhahahhahah daaah et wachawi...
Mi mambo ya kilimo tena unalima vitu ambavyo ata ukipata loss kutumia mwenyewe huwezi ndo sitaki kabisa
Kuna watu wamemshauri mzee alime mihogo huko mbeya...Kuna mazao bora ukawa na hela usubiri wakianza kuvuna ndio unajitokeza unanunua kitu kinaonekana
kilimo kina stress sana, ajipange kiaskariKuna watu wamemshauri mzee alime mihogo huko mbeya...
Ngoja tuone kwanza aahahaa daah ila mambo haya
Daaah kweli wala sio uwongo an kilimo kuna mda kama kina upendeleo hvi kwa wale wazoefukilimo kina stress sana, ajipange kiaskari
😂 alafu ukute ndio ulichukua mkopo ukauwekeza kwenye kilimo.Kitunguu ni chakiboya sana, juu kinaweza kikawa kimestawi ila chini ni vimizizi tu. Jamaa yangu aliviotesha eka 2 juu vimestawi ila sasa siku anakuja kuvuna anang'oa vimizizi tu akasema wachawi wameloga vitunguu vyake havijazaa 😂😂
Sahivi humshauri kabisa kulima
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nilisoma kilimo cha kitunguu na nikaanza kwa kusia mbegu, nashukuru hazikuota.
😂 sijui nilikosea wapi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ulilimia kwenye udongo gani ?😂 sijui nilikosea wapi
Noma sana😂 alafu ukute ndio ulichukua mkopo ukauwekeza kwenye kilimo.
Bora ufuge kuku...ukikosa pa kuwauza unachinja unakunywa supu tu. Nyanya zikiwa hazina soko zinaozea shambani na huwezi kupika michuzi dailyAhahahhahah daaah et wachawi...
Mi mambo ya kilimo tena unalima vitu ambavyo ata ukipata loss kutumia mwenyewe huwezi ndo sitaki kabisa
Biashara ndio chimbuko la utajiri. Kwasababu unanunua kitu kinachoonekana na unajua utakwenda kuuza bei gani.Kuna mazao bora ukawa na hela usubiri wakianza kuvuna ndio unajitokeza unanunua kitu kinaonekana
Wazoefu walishafeli mara nyingi hivyo wanajua wapi wasahihishe makosa yao ili wapate matokeoDaaah kweli wala sio uwongo an kilimo kuna mda kama kina upendeleo hvi kwa wale wazoefu
(umesahau huu mstari) Wahi sasa ujipatie pdf yako nakala ni chache na nauza kwa bei ya punguzo.Mwisho wa PDF wanakuambia, kilimo kina hela, kilimo ni fursa