Nini maana ya ‘Kilimo cha PDF’?

Nini maana ya ‘Kilimo cha PDF’?

Nilisoma kilimo cha kitunguu na nikaanza kwa kusia mbegu, nashukuru hazikuota.
Kitunguu ni chakiboya sana, juu kinaweza kikawa kimestawi ila chini ni vimizizi tu. Jamaa yangu aliviotesha eka 2 juu vimestawi ila sasa siku anakuja kuvuna anang'oa vimizizi tu akasema wachawi wameloga vitunguu vyake havijazaa 😂😂

Sahivi humshauri kabisa kulima
 
Ahahahhahah daaah et wachawi...
Mi mambo ya kilimo tena unalima vitu ambavyo ata ukipata loss kutumia mwenyewe huwezi ndo sitaki kabisa
 
😂 alafu ukute ndio ulichukua mkopo ukauwekeza kwenye kilimo.
 
Ahahahhahah daaah et wachawi...
Mi mambo ya kilimo tena unalima vitu ambavyo ata ukipata loss kutumia mwenyewe huwezi ndo sitaki kabisa
Bora ufuge kuku...ukikosa pa kuwauza unachinja unakunywa supu tu. Nyanya zikiwa hazina soko zinaozea shambani na huwezi kupika michuzi daily
 
Kuna mazao bora ukawa na hela usubiri wakianza kuvuna ndio unajitokeza unanunua kitu kinaonekana
Biashara ndio chimbuko la utajiri. Kwasababu unanunua kitu kinachoonekana na unajua utakwenda kuuza bei gani.

Kilimo unaweza kutaabika miezi 6 unakuja kuvuna bei unapangiwa na mfanyabiashara.
 
Back
Top Bottom