fungi6
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 287
- 266
Juzi nilikua gereji fulani ivi Arusha kuna fundi mpya katokea DSM asa akawa anasema kuna mwanamke anamfungia kilemba wakafurahi wakasema utamuua mkali!
Nikaona acha nije uliza wataalamu maana naisi watoto wa dsm wengi uku wanaeza elezea vyema nini maana yakumfungia mwanamke kilemba?
Nikaona acha nije uliza wataalamu maana naisi watoto wa dsm wengi uku wanaeza elezea vyema nini maana yakumfungia mwanamke kilemba?