Nini maana ya kumfungia mtu kilemba?

Nini maana ya kumfungia mtu kilemba?

fungi6

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2017
Posts
287
Reaction score
266
Juzi nilikua gereji fulani ivi Arusha kuna fundi mpya katokea DSM asa akawa anasema kuna mwanamke anamfungia kilemba wakafurahi wakasema utamuua mkali!

Nikaona acha nije uliza wataalamu maana naisi watoto wa dsm wengi uku wanaeza elezea vyema nini maana yakumfungia mwanamke kilemba?
 
vijana wanaita kishungi kwa jina lingine. Yaani unachukua kimfuko unavingirita kweny...

mission aborted
 
Back
Top Bottom