Nini maana ya MBEYA ??

Nini maana ya MBEYA ??

Jibu please
asili ya jina Mbeya imetokana na neno la kisafwa ibheya likiwa na maana ya chumvi na ijulikane kuwa wasafwa ndio wenye na ndio wenye asili pale mbeya mjini ingawa kuna makabila makubwa kama Wanyakyusa, wakinga, wandali, wanyiha n.k
 
Yes ndivyo nijuavyo
 
Jina la Mbeya limeanza kutumika mwaka 1961, kabla ya hapo ilikuwa inafahamika kama southern highland province ikijumuisha mikoa ya rukwa na iringa
 
Na pia kabla ya kuitwa southern highland province wazungu waliuita scotland of Africa kwa kuwa Mbeya kulikuwa na hali ya hewa nzuri kama kwa nchini scotland hasa karibu na mlima loleza.
 
Na kabla ya wazungu ilikua inaitwaje?
 
Na kabla ya wazungu ilikua inaitwaje?
Umeuliza vema maana hajajibu swali la mtoa mada bali kaeleza anachojua. Hata hivo kuna mtu kajibu vema hapo juu,: mbeje = chumvi

Ooooh: ni yule yule
 
Back
Top Bottom