justin mwanshinga
Senior Member
- May 22, 2014
- 179
- 621
Jibu please
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu,Ni kwamba,kuna mtu alikuwa mbeya sana wa mamboJibu please
Acha utoto weweJibu,Ni kwamba,kuna mtu alikuwa mbeya sana wa mambo
asili ya jina Mbeya imetokana na neno la kisafwa ibheya likiwa na maana ya chumvi na ijulikane kuwa wasafwa ndio wenye na ndio wenye asili pale mbeya mjini ingawa kuna makabila makubwa kama Wanyakyusa, wakinga, wandali, wanyiha n.kJibu please

asili ya jina Mbeya imetokana na neno la kisafwa ibheya likiwa na maana ya chumvi na ijulikane kuwa wasafwa ndio wenye na ndio wenye asili pale mbeya mjini ingawa kuna makabila makubwa kama Wanyakyusa, wakinga, wandali, wanyiha n.k
Na kabla ya wazungu ilikua inaitwaje?Na pia kabla ya kuitwa southern highland province wazungu waliuita scotland of Africa kwa kuwa Mbeya kulikuwa na hali ya hewa nzuri kama kwa nchini scotland hasa karibu na mlima loleza.
Umeuliza vema maana hajajibu swali la mtoa mada bali kaeleza anachojua. Hata hivo kuna mtu kajibu vema hapo juu,: mbeje = chumviNa kabla ya wazungu ilikua inaitwaje?