Nini maana ya mchakato wa ajira?

Nini maana ya mchakato wa ajira?

BUT I WISH ATLEAST BASI KUWE NA STANDARD CUTTING POIT ILI MTU AWEZE KUJI MUTE KISAIKOLOJA....SIO MTU SIKU ANAPATA 65 WAO WANABEBA 66... SIKU KAPATA 66 WAO WANABEBA 67 HAPP NDIO UNAANZA KUSEMA LABDA AMEROGWA
Ulichokiongea hapa naweza nikakuunga mkono ila kwasasa utaratibu wanaotumia ni kwamba nafasi moja ni walau igombaniwe na watu watutu, ndio mana unakuta cutting point inabadilika badilika.
Mathalani tangazo la kazi linataka watu5 mliofanya written ni watu 100 ila watu 40 ndio mliofaulu(mmepata 50+) basi watachukuliwa wale 15+ waliofaulu vizuri zaidi ili uwiano uwe nafasi moja kwa walau wapambanaji watatu
 
Mkuu umeongea ya moyoni...yana ukweli kbsa haya maneno hawa jamaa watakuja kuua watu aisee
Bro Mimi nahisi washawahi kuua sema hatujui, Awekwe mtu wa ushauri nasaha before starting the Exams yani, kama dkk 5 atoe ushauri nasahama... Unless watu watakufa sana....mtu ana stress za maisha huko kaja kapiga zake 68.5 wanachukua mtu wa 69😭
 
Oral interview, waweke kwa kanda pia. Hatuna ela ya kusafiri kwenda Dodoma. Tumeenda sana Dodoma, kwa sasa inatosha, tubaki kwenye kanda zetu, tupige oral turudi nyumbani, tunateseka sana kule Dodoma, hatuna ela, hatuna ndugu kule. Mmeamua tufanye kwa kanda , malizeni interview zote kwa kanda. Tumewachoka sasa.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Hiki kitu mim ninakiamini maana mi mwenyewe nishawahi kuumizwa sna na hawa utumishi
 
Oral interview, waweke kwa kanda pia. Hatuna ela ya kusafiri kwenda Dodoma. Tumeenda sana Dodoma, kwa sasa inatosha, tubaki kwenye kanda zetu, tupige oral turudi nyumbani, tunateseka sana kule Dodoma, hatuna ela, hatuna ndugu kule. Mmeamua tufanye kwa kanda , malizeni interview zote kwa kanda. Tumewachoka sasa.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Ni mwendo wa kulala stand tu hahha hamna namna
 
Wanaamini unajua hata ukurupuliwe asbh utaweza kujbu
Issue hapa sio kujibu, ni wanatakiwa kujua sio kila anaetafuta kazi anajiweza kiuchumi kwamba anaweza kukaa Dodoma from Saturday to Friday. Hivyo kuna watu waliondoka soon after written exam wakitegemea matokeo yatatoka kwa wakati kama yalivyotoka kwa kada zingine.

Lakini mambo ya nje mpaka muda huu hakuna kitu, na ratiba ni kesho. Means walioondoka waanze kubet tu kwa kuanza safari ya Dom saivi kwa wale wa maeneo ya karibu

Na sio kwamba watu wanapenda kuondoka. Ni hali tu za kifedha na kutokuwa na ndugu Idodomya
 
Aisee sio poa kbsa
 
Mwamba hii interview imenipita kwakweli pamoja na kufuatilia kote ajira ila naon Leo ile post aisee daaah, sijui ntafanyaje mungu Wang wee
 
Mchakato wa ajira ni utaratibu wa kupata mtumishi wa kumwajiri. Mchakato huu unaanza katika hatua ya kupata kibali cha ajira, kutoa tangazo la ajira, kupokea maombi ya kazi,kufanya uchambuzi wa waombaji kazi ili kupata wale waliokidhi vigezo, kuita waombaji katika usaili, kuendesha usaili, kuidhinishwa kwa matokeo ya usaili na kupanga waombaji waliofaulu usaili kwa Waajiri.

Haya yote yanafanyika kwa kuzingatia sheria na taratibu
Hope sio.mmojaawapo wa wale wateule kuchunguza wa2
kuanzia kesho .maana jf n shuhuli ..anyway unaweza pata maoni ya wengine m ninefika kituo cha kushuka
 
Mchakato wa Ajira.

Ni kile kitendo cha kupata kibali cha kuajili.

Kutangaza ajira.

Kuita watu kwenye usaili.

Kupata watu kwa ajili ya hiyo nafasi.

Pasipo kuzingatia jinsia,kabila,dini na Rangi
Mbona unaruka hatua mkuu
 
Mchakato wa ajira ni utaratibu wa kupata mtumishi wa kumwajiri. Mchakato huu unaanza katika hatua ya kupata kibali cha ajira, kutoa tangazo la ajira, kupokea maombi ya kazi,kufanya uchambuzi wa waombaji kazi ili kupata wale waliokidhi vigezo, kuita waombaji katika usaili, kuendesha usaili, kuidhinishwa kwa matokeo ya usaili na kupanga waombaji waliofaulu usaili kwa Waajiri.

Haya yote yanafanyika kwa kuzingatia sheria na taratibu
Samahani natoka nje ya mada ila nahitaji ufafanuzi.mimi ni mtumishi Halmshauri x,niliajilia kama veo,ila kwa bahati mzuri pia nina diploma ya kozi ya chuo cha bandari je nikihitaji kuhamia bandarini utaratibu upoje.?
 
Acha kazi tamaa mbaya sana watu wanalia we unakomaa kuama dah life is not fair.
 
Mchakato wa ajira ni utaratibu wa kupata mtumishi wa kumwajiri. Mchakato huu unaanza katika hatua ya kupata kibali cha ajira, kutoa tangazo la ajira, kupokea maombi ya kazi,kufanya uchambuzi wa waombaji kazi ili kupata wale waliokidhi vigezo, kuita waombaji katika usaili, kuendesha usaili, kuidhinishwa kwa matokeo ya usaili na kupanga waombaji waliofaulu usaili kwa Waajiri.

Haya yote yanafanyika kwa kuzingatia sheria na taratibu
Wiki 2 mpaka sasa matokeo ya MDAs na LGA hayajatoka tatizo ni nini? kanuni inataka matokeo yatoke ndani ya siku 14
 
Samahani natoka nje ya mada ila nahitaji ufafanuzi.mimi ni mtumishi Halmshauri x,niliajilia kama veo,ila kwa bahati mzuri pia nina diploma ya kozi ya chuo cha bandari je nikihitaji kuhamia bandarini utaratibu upoje.?
Kwanza hapo unafahamika kama VEO, fanya utaratibu ubadilishiwe usomeke kama unavyotaka na hii ni kwasababu ya cheki namba. Pia muajiri wako lazima aridhie kuhama kwako na kule unakotaka kwenda kuwe na nafasi
 
Back
Top Bottom