Ulichokiongea hapa naweza nikakuunga mkono ila kwasasa utaratibu wanaotumia ni kwamba nafasi moja ni walau igombaniwe na watu watutu, ndio mana unakuta cutting point inabadilika badilika.BUT I WISH ATLEAST BASI KUWE NA STANDARD CUTTING POIT ILI MTU AWEZE KUJI MUTE KISAIKOLOJA....SIO MTU SIKU ANAPATA 65 WAO WANABEBA 66... SIKU KAPATA 66 WAO WANABEBA 67 HAPP NDIO UNAANZA KUSEMA LABDA AMEROGWA
Mathalani tangazo la kazi linataka watu5 mliofanya written ni watu 100 ila watu 40 ndio mliofaulu(mmepata 50+) basi watachukuliwa wale 15+ waliofaulu vizuri zaidi ili uwiano uwe nafasi moja kwa walau wapambanaji watatu