Nini maana ya msemo 'Mwenda tezi na omo marejeo ngamani'

mimi na maskini wenzangu tunaitumia kuwakosoa au kujifariji endapo tunaona wenzetu wanaishi maisha mazuri tunabaki kusema mwenda tezi(yeye) na omo(mimi) marejeo ni ngamani(chini)
 
Ni Kama Prof Kabudi mzee wa Jalalani, kahangaika wee na misukosuko ya kisiasa sasa kurejea Ngamani-UDSM. Ngamani ni hatma yako. Kisayansi ngamani ni Centre of Gravity (point of stability).
 
Ahaaaa, dah

Wengine walikuwa wanafikiri 'Omo' sabuni na 'Tezi' ni tezi dume...
 
Back
Top Bottom