Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Mbobevu / Mbobezi wa Masuala ya Kimataifa na Mahusiano yake kwa Ujumla.Wapendwa nimekuwa nikilisikia mara nyingi hili neno lakini nashindwa kuelewa vema
Dah! Asante sana nimekuelewa vizuri.🙏🙏Ni Mbobevu / Mbobezi wa Masuala ya Kimataifa na Mahusiano yake kwa Ujumla.
Anaweza akawa ni Balozi au hata tu Mtumishi ila ni lazima awe chini ya Wizara ya Mambo ya Nje na 99.9% huwa ni Manjagu ( Watu wa Usalama ) karibia katika Mataifa yote tu.
Ninawaachia Wengine Wakuelimishe.
😳😳Duh! Kwann unajichosha sana kufikiria mkuu jibu mbona lipo wazi kabisa huyo ni mwana tu kama wana wengine
Ni Mbobevu / Mbobezi wa Masuala ya Kimataifa na Mahusiano yake kwa Ujumla.
Anaweza akawa ni Balozi au hata tu Mtumishi ila ni lazima awe chini ya Wizara ya Mambo ya Nje na 99.9% huwa ni Manjagu ( Watu wa Usalama ) karibia katika Mataifa yote tu.
Ninawaachia Wengine Wakuelimishe.
Karibu sana Ndugu. Na ukitaka Kuisomea hiyo Kozi Vyuo Vikuu inaitwa International Relations and Diplomacy na ukipata Kitengo utasafiri Ulaya, Marekani na Kote hadi uchoke Kupanda Ndege.Dah! Asante sana nimekuelewa vizuri.🙏🙏
Ungekuwa ni Intellectual hasa / kweli nadhani baada ya Kunipinga nawe ungekuja na Ufafanuzi wako ila tatizo lenu Wapumbavu na Waswahili kama Wewe ni kuwahi Kukosoa Jambo Kimajungu huku ukiwa huna Ufahamu wowote wa kile ulichokikataa.Sio kweli
Ni watu wanaowakilisha serikali za nchi zao katika nchi za nje. Hapo kuna balozi, mwakilishi, mfano wa umoja wa Afrika, Mataifa n.k.Wapendwa nimekuwa nikilisikia mara nyingi hili neno lakini nashindwa kuelewa vema
Kwa Tz inaweza ikawa inapotoshwa (tunaona watu hata wa hovyo wanapewa ubalozi kama njugu) hasa hili la uana usalama, ila balozi hana vinasaba vya uana usalama. Kuna military attaché, muambata wa kijeshi katika balozi, Sina uhakika, pengine ndio anaweza akawa na majukumu ya usalama n.k.Ni Mbobevu / Mbobezi wa Masuala ya Kimataifa na Mahusiano yake kwa Ujumla.
Anaweza akawa ni Balozi au hata tu Mtumishi ila ni lazima awe chini ya Wizara ya Mambo ya Nje na 99.9% huwa ni Manjagu ( Watu wa Usalama ) karibia katika Mataifa yote tu.
Ninawaachia Wengine Wakuelimishe.
Hata ukisomea political science unaweza kufanya wizara ya mambo ya nje.Karibu sana Ndugu. Na ukitaka Kuisomea hiyo Kozi Vyuo Vikuu inaitwa International Relations and Diplomacy na ukipata Kitengo utasafiri Ulaya, Marekani na Kote hadi uchoke Kupanda Ndege.
Asante nimekusoma nashukuruHata ukisomea political science unaweza kufanya wizara ya mambo ya nje.